Kiongozi hv kma unahudumia kila kitu mfano mbolea ,palizi ata zaidi ya mara tatu haiwezekani nikatoka na 8 kwa hekarNipo mpwapwa Dom, moja kati ya kilimo kinacholimwa sana huku. Mvua za mwezi wa 12, wa 1 hata wa pili unaweza ukapanda kimsingi ni zao linalovumilia ukame haliitaji mvua nyingi. Kukodi shamba huku ni elf 30 na kulima (wanatumia ng'ombe au powertiller) 25 - 30k kupalilia per acre 30k. Ni kilimo flan hv hakina mambo mengi sn sabab wenyej wa huku hawatumii mbolea ardhi kwa sehem kubwa ina rutuba. Hakuna matumizi ya viwatilifu (japo magonjwa au wadudu yanaweza kutokea). Mavuno baada ya miez 3-4. Makadirio unaweza pata gunia 3-4 kwa eka. Palizi hata ukipalilia mara moja unaweza kuvuna.
Yield bado ipo chini .Nipo mpwapwa Dom, moja kati ya kilimo kinacholimwa sana huku. Mvua za mwezi wa 12, wa 1 hata wa pili unaweza ukapanda kimsingi ni zao linalovumilia ukame haliitaji mvua nyingi. Kukodi shamba huku ni elf 30 na kulima (wanatumia ng'ombe au powertiller) 25 - 30k kupalilia per acre 30k. Ni kilimo flan hv hakina mambo mengi sn sabab wenyej wa huku hawatumii mbolea ardhi kwa sehem kubwa ina rutuba. Hakuna matumizi ya viwatilifu (japo magonjwa au wadudu yanaweza kutokea). Mavuno baada ya miez 3-4. Makadirio unaweza pata gunia 3-4 kwa eka. Palizi hata ukipalilia mara moja unaweza kuvuna.
Inawezekana ukipata mbegu bora , ardhi yenye rutuba nzuri na kufuata taratibu na kanuni za kilimo cha kisasa.Kiongozi hv kma unahudumia kila kitu mfano mbolea ,palizi ata zaidi ya mara tatu haiwezekani nikatoka na 8 kwa hekar
Yield yake ni kg 800-1200 per acre .Inawezekana ukipata mbegu bora , ardhi yenye rutuba nzuri na kufuata taratibu na kanuni za kilimo cha kisasa.
Mbegu pendekezwa ni Hysun 33 by advanta
Sijajua kwa Songea, ila Njombe unaweza kulima baadhi ya maeneo kama kule wanging'ombe kuelekea chimala maana kuna hali ya joto ila kwenye mvua nyingi kuna baridi mfano lupemb, ludewa huko aisee ukilima utavuna maganda makubwa ila ndani kiini hakina kitu.Pia mkuu ....
Ivi unaweza kulima alizeti mikoa kama songea , njombe ....kwenye mvuà nyingi na ukapata mavuno mazuri ?
umerunga pm yako, nahitaji mashamba dom ya kulima alizetiNipo mpwapwa Dom, moja kati ya kilimo kinacholimwa sana huku. Mvua za mwezi wa 12, wa 1 hata wa pili unaweza ukapanda kimsingi ni zao linalovumilia ukame haliitaji mvua nyingi. Kukodi shamba huku ni elf 30 na kulima (wanatumia ng'ombe au powertiller) 25 - 30k kupalilia per acre 30k. Ni kilimo flan hv hakina mambo mengi sn sabab wenyej wa huku hawatumii mbolea ardhi kwa sehem kubwa ina rutuba. Hakuna matumizi ya viwatilifu (japo magonjwa au wadudu yanaweza kutokea). Mavuno baada ya miez 3-4. Makadirio unaweza pata gunia 3-4 kwa eka. Palizi hata ukipalilia mara moja unaweza kuvuna.
Songea sijajua ila kwa njombe ni wanging'ombe, igwachanya, ilembulaPia mkuu ....
Ivi unaweza kulima alizeti mikoa kama songea , njombe ....kwenye mvuà nyingi na ukapata mavuno mazuri ?
Habari , kuelekea msimu wa kilimo pata mashamba heka kwa bei ya laki tatu maeneo ya wilaya ya chamwino vijijini , Pia nina viwanja dodoma mjini maeneo ya veyula vimepimwa tayari bei kuanzia million 2. kwa mawasiliano piga 0694662625umerunga pm yako, nahitaji mashamba dom ya kulima alizeti