Kaka Mimi zao la ALIZETI kiukweli nalijua likichanua Yale maua yake vingnevyo siwez kuelewa mkuuUlimaanisha hizi si ndio?View attachment 2174504
Nipo kilombero,mang'ulaUpo moro sehemu gn?
Nipo kilombero,mang'ulaUpo moro sehemu gn?
Nipo kilombero,mang'ula
Kumbe home boyIchonde moja hiyo
Hivi hata huko Ukraine na wao wanapata gunia 3-5 kama sisi au inakuaje?Kilimo Cha kupata gunia 3-4 kw hekar skushaur maana utabaki kulima kilimo Cha kupata pesa y kununua vocha na kuinglia kweny vibanda umiza cku mzee wa kutetema anafanya yake! Alzet ili irudshe gharama z uendeshaj upate walau gunia 10+ kwa hekar,
Tupe elimu mkuu ya jinsi gani unaweza kuongeza mavuno yawe mazuri zaidi??Kule naskia heka moja unavuna gunia 50 na kuendlea nko na mshikaj Wang tumelima heka 60 tunajiandaa kwenda kuvuna,
Pia mkuu ....Kule naskia heka moja unavuna gunia 50 na kuendlea nko na mshikaj Wang tumelima heka 60 tunajiandaa kwenda kuvuna,
Mkuu umelimia wapi hii kitu?Ulimaanisha hizi si ndio?View attachment 2174504
Kabisa unalima tu bila shidaPia mkuu ....
Ivi unaweza kulima alizeti mikoa kama songea , njombe ....kwenye mvuà nyingi na ukapata mavuno mazuri ?
Wapi huko?Kule naskia heka moja unavuna gunia 50 na kuendlea nko na mshikaj Wang tumelima heka 60 tunajiandaa kwenda kuvuna,