Kwangu mimi bidhaa pekee nilitumia m3 nje na wafanyakazi hii ni heka moja ya nyanya.
Mbegu hybrd wastan wa 400k
mifuko kunzia 8 ya mbolea (inategemea unanunua ya ruzuku ama kawaida) 640
madawa yote ni 600k
Mafuta petrol kwa ajiri ya pikpiki na pump hadi mavuno 370k
miti na kamba 330k
Pump,pipe na koromeo 6200k
hapo itakuja kama 2,960,000/=
Kazi kwako mkurungwa.
Vitunguu niliangikia pua vilevile na cabbage