Kilimi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kilimi

Discussion in 'JF Doctor' started by Che Kalizozele, Jun 19, 2009.

 1. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2009
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wakubwa nina dada yangu anasumbuliwa sana na kilimi,anakohoa like hell.Hana raha kabisa,msaada wenu tafadhari
   
 2. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  mpe pole sana dada yako. Mwambie aende hospital huwa wanakikata kama wakimchunguza na wakigundua ni kilimi.
   
 3. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2009
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Uwezi kuamini pretty,ameshakwenda hospital na ameshakula antibiotics mpaka daktari akamuonea huruma akaamua kumbadilishia dawa akampa esoz ambazo anatumia mpaka sasa.Lakini hali yake si nzuri bado nakohoa sana.Binafsi nilitaraji nitapata ushauri japo wa tiba mbadala(yaani dawa za kienyeji)

  Navyofahamu mimi,siku hizi kuna kampeni ya kuzuia ukati wa vilimi.Na pia nakumbuka hospitali hauwezi kukatwa kulimi,ni waganga wa kienyeji ndo wanafanya shughuli hizo kwani hata mie nakumbuka kukatwa kilimi nikiwa mdogo.
   
 4. K

  Kashaija JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2009
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kwa topic hii nadhani hata mimi nitanufaika na majibu, maana kuna jamaa yangu mmoja naye ana tatizo kama hilo.
   
Loading...