Kilimanjaro: RCO wa Ilala Dar SSP Mbise, afariki kwenye ajali Wilayani Mwanga

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,498
54,923
RCO wa Ilala Jijini Dar SSP Mbise taarifa zinasema kuwa amefariki dunia muda huu wilayani Mwanga Mkoani Kilimanjaro kwa ajali ya Gari akiwa safarini.

Taarifa zinasema kuwa RCO Mbise alikuwa anaelekea nyumbani kwao kwa mapumziko ya kikazi.







 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…