Karibu JPM. Sisi huwa tunapima utendaji wa ulichosema. Tumekupokea hadi ukasema really tunakupenda. Sisi hatuna kinyongo. Ndio maana mbunge na meya (wote upinzani) wamekupokea.Tumesambaa tz nzima. Ni Mkoa wa kwanza kuwa na serikali kabla hata tz haijapata Uhuru. Umesema umefarijika, ndivyo tulivyo. Hakuna anatekuja kwetu asifarijike. Karibu tena mangi!! Ukitekeleza,wakitekeleza tutakukubali, ukizingua nasi hatuzingui.