Kilimanjaro mkoa usio na ombaomba

Moshi mjini omba omba wapo hasa CRDB pale .

CRDB alikuwa mmoja tu na yule kashaondoka

Sehemu ambayo wako ni mbele ya kituo cha police hasa asubuh na wengi ni wagonjwa ukoma mitaa ya double road hakuna kbsaa
 
Kilimanjaro ni mkoa wenye sifa kemkem
Lakini pia ni mkoa ambao hauna ombaomba mwenye miguu mikono na mwenye kila kiungo chake kamili halafu akawa ni omba omba
Means Ombaomba wako wapo,kwa kukusaidia tu ungeandika hivi....
Kilimanjaro mkoa usio na watu wanaojifanyiza ombaomba.
Kuna mtu mwenye swali?
 
Wapo wengi ila staili ya uombaji wao na mahitaji ni tofauti. Wao ni ombaomba wa mbege. Kuna vibaa vyao vidogovidogo hasa vijijini vipo karibu na barabara ukipita tuu ni kesi,,, utaitwa mara tupo hapa,,,,,mara ,,,,,,??? kero tupu ....we!!1
 

Mkuu sidhani kama utakuw umemuelew mtoa mada vzr kuombwa lift sio ttz mbona kila sehemu iko iyo

Tunasema wale wanao kaa barabarani na kuomba omba am standing to be corrected kma nimemuelew mtoa mada vzr

Na hawo wa maoffice wengi ni wagonjwa na wanakuja na vibali kutoka serekali za mitaa
 
Omba omba nao wanaangalia na sehemu ya kuomba, aombe huko wampe mikungu ya ndizi na mbege???
Wapi wewe utakuwa hujawahi kufika uchagani. Omba omba wapo ila wachache na wametokea Dodoma. Baadhi wana ulemavu wa ukoma. Kuna ambao walipata hadi familia na watoto na wakawa wanawalea kwa kutegemea hiyo shughuli ya omba omba. Hata hivyo kama sijakosea, omba omba pale imewekewa siku maalum. Yani kila ijumaa wanaruhusiwa kupita kwenye ma ofisi na biashara kuomba. Niliowaonq now, unakuta yuko kwenye wheelchair na anatembezwa na kijana mwenye nguvu zake kabisa. Hapo najiuliza tena, huyo kijana ameajiriwa, au ni ndugu?

Usilishwe kasa kuanza kukariri vitu huvijui. Hiyo kauli yako inaonyesha ujinga wa akili.
 

Utamaduni wa wachaga kuomba ni kero sana kwanza wanalazimisha uwape hata km hutak, labda unipe tafsir mpya ya neno kuomba
 
Siyo kweli kwamba Kilimanjaro hasa mjini Moshi hakuna omba omba, wapo ila ni wachache sana, note me...ukitokea soko la Mbuyuni ukiwa unatermka kuelekea stendi pitia mkono wa kushoto yaani pale Kituo kikuu cha Polisi kabla hujafika stendi ya mabasi makubwa basi ombaomba utawaona tu. Ila ni wachache si km dar nk
 
Hata anayesema omba omba Mbeya hawapo si kweli, ukiwa unatokea uhindini pitia pale Benk ya NMB tawi LA Mbalizi utawakuta wapo tu, pia ukiwa unatokea Mwanjelwa kuelekea mjini (uhindini) basi kuna sehemu daladala huteremshia watu inaitwa (BP) pale utawakuta pia. Ila nako ni wachache tu si kama sehemu za dar.
 

Haya ukimaliza kamuelimishe na mchaga mwenzio mleta post kwamba hata huko kwenu omba omba pia wapo.
 
Haya ukimaliza kamuelimishe na mchaga mwenzio mleta post kwamba hata huko kwenu omba omba pia wapo.
Sijaona wachagga omba omba. Nimwelimishe nini? Kama anataka kui dispute post yangu atajibu.
 
Hao ni wahamiaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…