Kilimanjaro mkoa usio na ombaomba

Umewahi kufika Mbeya? au unaringanisha zkilimsnjaro na Dar na Mwanza na Tabora?
 
Josee position mbona mnaichukua?muachieni postion yake
 
Kilimanjaro ni mkoa wenye sifa kemkem
Lakini pia ni mkoa ambao hauna ombaomba mwenye miguu mikono na mwenye kila kiungo chake kamili halafu akawa ni omba omba
Weka takwimu ya majambazi na matukio ya uhalifu Kilimanjaro tafadhali mkuu.
 
Omba omba wapo sana sema siyo wengi kulinganisha na miji mingine omba omba wapo mpaka London Paris
 
Omba omba wapo huku bar kila siku wanapita ila sijawahi kuwaona kanisani tangu nizaliwe.Hii inaonesha bar kuna watu wakarimu kuliko kanisani.
 
Omba omba nao wanaangalia na sehemu ya kuomba, aombe huko wampe mikungu ya ndizi na mbege???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…