KILIMANJARO: Kuna wezekano mh. Paul Makonda akawa mkuu wa mkoa huu

Kwani Dar pamemshinda?
Apelekwe Kilimanjaro kwenda kufanya nini hasa?

Bashite alete vyeti kwanza, halafu mengine baadaye.
 
Kwani Dar pamemshinda?
Apelekwe Kilimanjaro kwenda kufanya nini hasa?

Bashite alete vyeti kwanza, halafu mengine baadaye.

Pamemshinda kila analoongea lina u-bashite sasa aje huku moshi tumnyooshe kama mecky sadick

akija huku atatulia maana sisi sio wa dar es salaam
 
Atarudi uchi hata chupi ajavaa wachaga hatutaki wezi na Wasio jielewa sisi

Huku tumejaa wasomi Na wapambanaji Sio wazee Wakikk kama wasaniiiii johmakin)songs)
 
Mpaka sasa

mheshimiwa Rais John Magufuli ajamchagua mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro.

Maoni yangu ningependa huyu Paul Makonda ahamishiwe moshi.
Aende tu akakutane na watu wenye vyeti halali aucheze mziki wake
 
Wakolomije hawa wawili hawawezi kucheza mbali nani atambebea mazabe yake? Labda hili la kususiwa na wanahabari limeanza kuuma lakini lolote kule ni lazima liendelezwe. Waongeze Mkoa mwingine wa Kolomije ili akawe Mkuu wa Mkoa kule.

Mpaka sasa

mheshimiwa Rais John Magufuli ajamchagua mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro.

Maoni yangu ningependa huyu Paul Makonda ahamishiwe moshi.
 
Mpaka sasa

mheshimiwa Rais John Magufuli ajamchagua mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro.

Maoni yangu ningependa huyu Paul Makonda ahamishiwe moshi.
Umesikia sisi tunataka div sifuri huku??? Hatuwezi ongozwa na kilaza sisi!!

Kama unampenda sana bashite muombe aje kumuongoza mkeo na wewe!!

Pumbafu kabisa!
 
Back
Top Bottom