Kilimanjaro International Airport

jbmukulu

Senior Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
122
Reaction score
84
Naomba kujuzwa jiografia ya KIA.
Iko mkoa gani? Mwanzoni nilifikiri iko mkoa wa Kilimanjaro lakini kuna rafiki ananiambia uko mkoa wa Arusha. Nimeangalia kwenye google map, kweli unaonekana uko Arusha. Ila mara nyingi viongozi wakimataifa wakishuka pale kwanini huwa wanapokelewa na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro na sio wa Arusha?
 
Ipo Mkoa Wa Kilimanjaro
Aliyekwambia Arusha Kakupotosha Tu
 
upo kata ya Kia, wilaya ya hai, mkoa wa Kilimanjaro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…