Kilimanjaro ilishakua nchi enzi hizo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kilimanjaro ilishakua nchi enzi hizo

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by MPAMBANAJI.COM, Mar 23, 2012.

 1. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  Katika stori zangu na wazee wa miaka hiyo, wanasema eti kilimajaro ilishakua Nchii na sio Nyerere ungekuta Arusha,Kilimanjaro na Tanga ni Nchi Huru.Hili limenishangaza sijui kwa sababu nilikimbia Histrory,inasemekana ya kuwa kulikua na viwanda na bidhaa nyingi zilikua zimeandikwa Made in KILIMANJARO Mfano Bakuli Vikombe nk.Mangi mkuu na akishikiriana na wamangi wengine huko Kilimanjaro na Arusha walikua wamependekeza eneo hilo liwe Nchi moja na aliweza kufanikiwa kukutana na Malkia Elizabeth kule Uingereza, bahati mbaya wakati anarudi kumbe na Mwalimu ndo anaingia.Mwalimu alimwambia Malkia kuwa Kilimanjaro ni sehemu ya Tnaganyika baada ya Malkia kushangaa Mwl anasema Kilimanjaro ni sehemu ya Tanganyika,Kwa hasira Mwalimu alivyotua tu, akafuta Umangi wote na tawala zote za kichief Tanzania.
  Kweli wale wachaga na watu wa Kaskazini ni noma. Ingekuaje kama wangefanikiwa, sijui ungekuta sie wakusini tunaenda Nchi za Nje....huko Kanda ya Kaskazini.Ila inaonekana wangekua mbali sna........Au ndo maana Mwl alisema wale jamaa wasipewe Uraisi?
  Wazee hazina kweli,hili nlikua silifahamu kabisa.
   
 2. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,979
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 280
  Mh! Wewe unamatatizo ya akili, please if the symptoms persist, seek for medical advice!
   
Loading...