nimekumbuka ditopile alivyomlamba chuma yule dereva Kikwete alienda kwa baba mtu akamwaga mapesa, kwenye mahojiano baba anasema "kwanza Hassan alikua mjeuri"Watalipa sawa but no replacement ya mtu.
Mdai akikaza kwa njia sahihi, hatakua na option. Maana hapo mdai akipata guidance sahihi ya kisheria, anaweza kwenda mahakamani kuiomba mahakama kukazia hukumu kuwa Sawaya alipe hiyo hela, ndani ya muda fulani na asipofanya hivyo mahakama itatoa ruhusa ya mali zake (eg hayo mabasi) kukamatwa popote yatakapoonekana.Mh sawaya, atazitoa kweli hizo pesa
Ova
Mdai akikaza kwa njia sahihi, hatakua na option. Maana hapo mdai akipata guidance sahihi ya kisheria, anaweza kwenda mahakamani kuiomba mahakama kukazia hukumu kuwa Swaya alipe hiyo hela, ndani ya muda fulani na asipofanya hivyo mahakama itatoa ruhusa ya mali zake (eg hayo mabasi) kukamatwa popote yatakapoonekana.
Japokua bwana Sawaya na yeye bado ana haki ya kukata rufaa, so sio kwamba kesi ndo imeisha kabisa hii, ngoma bado mbichi. Hesabu angalau miaka 3-5 hivi hapo hadi hili sebene kuisha.
Maana yake ni kuwa gari haikuwa na bima,Kama mwenye gari anadaiwa Tsh 300m. Bima ina kazi gani ?
Si mtaalam sana wa kisheria, ila hapo uwezekano upo. Kumbuka ndege ya ATCL ilivyokamatwa kwa deni ambalo Tanzania ndo inadaiwa. Ilikamatwa mali ya ATCL wakati mwenye deni ni nchi (Tanzania), na sio kampuni (ATCL). Anyways, wataalamu wa sheria wanaweza kutufumbua macho zaidi, nisije nikawa napotosha.Mali za sawaya ni za kampuni.
Je watakamata mali za kampuni?
Italeta nidhamu kwa Hawa watu wamilikiWatalipa sawa but no replacement ya mtu.
Hii hukumu kama mtu anayo naomba nisomenimekumbuka ditopile alivyomlamba chuma yule dereva
kikwete alienda kwa baba mtu akamwaga mapesa, kwenye mahojiano baba anasema "kwanza Hassan alikua mjeuri"
Nilisoma pia judge alisema marehemu alikuwa na mdomo mchafu😂nimekumbuka ditopile alivyomlamba chuma yule dereva Kikwete alienda kwa baba mtu akamwaga mapesa, kwenye mahojiano baba anasema "kwanza Hassan alikua mjeuri"
Huyo jamaa ana ujanja wa kipuuzi hata kama amemkana dereva lakini gari ni mali yake ,kama ana akili alipe tu maana mahakama imesema kuna riba ya 7% kila mwakaMali za sawaya ni za kampuni.
Je watakamata mali za kampuni?
Na je sawaya amemkana Dereva sasa inaonekana hii ajali ilisababishwa na dereva mwingine atadai nani
Kilichoiokoa ile ndege ni serikali ilidai ndege ile ni ya Rais hivo ilitumika diplomasia, huyu hachomoki kwa sababu mahakama imeshajiridhisha gari haikuwa na Bima na dereva alifanya uzembe,Si mtaalam sana wa kisheria, ila hapo uwezekano upo. Kumbuka ndege ya ATCL ilivyokamatwa kwa deni ambalo Tanzania ndo inadaiwa. Ilikamatwa mali ya ATCL wakati mwenye deni ni nchi (Tanzania), na sio kampuni (ATCL). Anyways, wataalamu wa sheria wanaweza kutufumbua macho zaidi, nisije nikawa napotosha.
Aliyekwambia ATCL inamiliki ndege nani?Si mtaalam sana wa kisheria, ila hapo uwezekano upo. Kumbuka ndege ya ATCL ilivyokamatwa kwa deni ambalo Tanzania ndo inadaiwa. Ilikamatwa mali ya ATCL wakati mwenye deni ni nchi (Tanzania), na sio kampuni (ATCL). Anyways, wataalamu wa sheria wanaweza kutufumbua macho zaidi, nisije nikawa napotosha.