Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,523
- 14,002
Sure waweza uliza humu humu JF.Karibu sana..!@!Kwani si tunaruhusiwa pia kuuliza humu humu?
Package zetu ni nafuu sana laki tatu kwa siku zote 6 (Price includesπark fee,climb equipment,meals,porters and mountain guide)Packages zenu ziko vipi,nina mpango huo na co-workers.
Trip itaanzia Moshi mjini tarehe tajwa hapo juu.Gharama ni nafuu sana laki tatu kwa siku zote 6 (Price includesπark fee,climb equipment,meals,porters and mountain guide) Kama ulikuwa na ndoto za kupanda mlima huu ndo muda wako..!@!Trip inaanzia wap yaan mkoa gan na bei ya jumla kupanda na kushuka ni sh.ngap??
big up!package zetu ni nafuu sana laki tatu kwa siku zote 6 (price includesπark fee,climb equipment,meals,porters and mountain guide)
Package zetu ni nafuu sana laki tatu kwa siku zote 6 (Price includesπark fee,climb equipment,meals,porters and mountain guide)
Mkuu shukrani nyingi Tungependa kujua umri gani unaoruhusiwa kiafya ? kwa sbb za kiafya tu !!Karibuni wadau wa utalii wa ndani katika kipindi hiki cha mwisho wa mwaka.Mwezi desemba tumendaa trip nyingine ya kupanda mlima Kilimanjaro kwa njia ya MARANGU kwa muda wa siku 6 kupanda na kushuka.Gharama zetu ni nafuu na tuna timu yenye uzoefu mkubwa wa kupandisha wageni mlimani.Trip zitanza 20/12/2013 hadi 30/12/2013 kila siku kutakuwa na kundi la kuondoka(daily group departure) Kujiandikisha au maulizo piga 0787140432 au tuma email kwenda infotanzaniaa@gmail.com
Confirm ni watu wangapi wapo kwenye group lako,kisha tutaongea tokea hapo.Ila ni kama mtu mmoja mmoja pesa ni hiyo net.I assume that price is for a single person,what if wanna do it in a group?
Umri kuanzia miaka 18 na kuendelea hadi 60 kutegemea na afya ya mtu.Wenye magonjwa ya ASMA,KISUKARI,BP,HIV/AIDS SIO walengwa kwenye hii trip.Mkuu shukrani nyingi Tungependa kujua umri gani unaoruhusiwa kiafya ? kwa sbb za kiafya tu !!