Kilimanjaro Bus na Sumatra

bibinnaa

JF-Expert Member
Jan 17, 2017
1,500
1,377
Leo jumapili 26th feb pale shekilango nimeuziwa tikets mbili kwenda ARK kwa 72000/= bus ya saa moja huku nikiambiwa bus ya saa tatu ni 66000/=.Imagine wakati huo ilikuwa saa moja kasorobo asubuhi.
Dada muuza tiketi ana customer care mbaya kuliko zote nilizoona duniani.
Je hiyo Nauli ni sahihi au wanafuata utaratibu wa Fast jet....
SUMTRA na Bw.Mawalla tujulisheni.
 
Msemaji wa Kilimanjaro bus....au Owner pse jitokezee utuambie...hatutaki kuachana na hili bus la home
 
Hawa nilishawakimbia yani wana nauli zao tena ziko juu zaidi ya zile zilizopangwa na sumatra, huduma kwa wateja ni sifuri uwapo ofisini kwao pia hata uwapo ndani ya gari ndo utajijua. Kupotea kwa mizigo ni jambo linalotokea mara kwa mara. Halafu nauli zao haziendani kabisa na huduma watoazo. Bora upande magari mengine tofauti kuliko hao KLM.
 
Halafu vile vidada vya pale shekilango vinakauli mbaya kwa wateja na majibu ya mkato ila angalau wale wadada wa ofisi za Arusha kaloleni wana kaustaarabu na unaweza kujisikia unahudumiwa. Lakini yote kwa yote KLM hawafai kabisa ni kama wameridhika.
 
Leo jumapili 26th feb pale shekilango nimeuziwa tikets mbili kwenda ARK kwa 72000/= bus ya saa moja huku nikiambiwa bus ya saa tatu ni 66000/=.Imagine wakati huo ilikuwa saa moja kasorobo asubuhi.
Dada muuza tiketi ana customer care mbaya kuliko zote nilizoona duniani.
Je hiyo Nauli ni sahihi au wanafuata utaratibu wa Fast jet....
SUMTRA na Bw.Mawalla tujulisheni.

Ili kuepukana na matatizo yote hayo au kero zote hizo Mkuu nakushauri uwe unapanda tu Mbung'o ( Ndege ).
 
Huu ugonjwa wa sijui utaisha lini ungemuuliza ukienda Sumatra utaibika bure Tanzania. Mabasi ya madaraja
Daraja lakawaida ni 22,700
Daraja la kati ni 32,800
Daraja la juu ni 36,000
Sasa wewe umekata la Daraja la Juu lenye choo ndani
Na mengineyo mengi
 
Mr. Royal Son, kwa mabasi ya dar-arusha ni tahmeed pekee ndo wana daraja la juu, hivi vijamaa vya KLM vinakukatia daraja la kati kwa nauli ya daraja la juu. Kwa kifupi KLM ni vijizi.
 
Leo jumapili 26th feb pale shekilango nimeuziwa tikets mbili kwenda ARK kwa 72000/= bus ya saa moja huku nikiambiwa bus ya saa tatu ni 66000/=.Imagine wakati huo ilikuwa saa moja kasorobo asubuhi.
Dada muuza tiketi ana customer care mbaya kuliko zote nilizoona duniani.
Je hiyo Nauli ni sahihi au wanafuata utaratibu wa Fast jet....
SUMTRA na Bw.Mawalla tujulisheni.
Kwa nini usingeuliza hapo hapo kabla ya kupost huku? Mabasi yana madaraja tofauti, kuna daraja la kwaida, daraja la kati na daraja la juu, je wewe umepanda basi la daraja lipi?
 
Leo jumapili 26th feb pale shekilango nimeuziwa tikets mbili kwenda ARK kwa 72000/= bus ya saa moja huku nikiambiwa bus ya saa tatu ni 66000/=.Imagine wakati huo ilikuwa saa moja kasorobo asubuhi.
Dada muuza tiketi ana customer care mbaya kuliko zote nilizoona duniani.
Je hiyo Nauli ni sahihi au wanafuata utaratibu wa Fast jet....
SUMTRA na Bw.Mawalla tujulisheni.
Mkuu kwani gari ni moja..
 
Huu ugonjwa wa sijui utaisha lini ungemuuliza ukienda Sumatra utaibika bure Tanzania. Mabasi ya madaraja
Daraja lakawaida ni 22,700
Daraja la kati ni 32,800
Daraja la juu ni 36,000
Sasa wewe umekata la Daraja la Juu lenye choo ndani
Na mengineyo mengi
Umeongea. Mleta mada na wachangiaji wanapaswa kujua hilo.
 
Huu ugonjwa wa sijui utaisha lini ungemuuliza ukienda Sumatra utaibika bure Tanzania. Mabasi ya madaraja
Daraja lakawaida ni 22,700
Daraja la kati ni 32,800
Daraja la juu ni 36,000
Sasa wewe umekata la Daraja la Juu lenye choo ndani
Na mengineyo mengi
Upo sahihi mkuu
 
Back
Top Bottom