unajuaje labda cause ya nyege ni gravity.....thinking out lout....in serious note bana kile kilima wengine kina historia mbaya nakumbuka nilivyokua secondary ..jamaa zangu walipataga ajali ikawaua kama wawili pale walikua wanatoka concert la akon...dah watu walikutwa wamenasa kwenye hivyo vimiti...may their sour rest in peace