hahahahaha...kama ni hivyo itabidi nami nikatishe hapo na kamkweche kangu halafu nikikaribia hapo nakamua mafuta ili nifaidi wakubwa wanavyo faidi.lolHuwa nahisi kuna kitu kama kinashuka tumboni shaaah
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
mi naona kawaida. nikipita kwa baiskeli nahisi imepaa. mia
siku moja tulikatiza hiyo barabara na secretary wetu kwa gari la ofisini,tuliposhuka tu hako kamlima,secretary akafanya "aaahuuu".tukamuuliza vp,akijibu "nimezisikia",wote tukacheka.
si umesema uko mpitimbi ?
Naona kama ilikuwa wewe ila unamsingizia vile..hahahahaaaaaaaasiku moja tulikatiza hiyo barabara na secretary wetu kwa gari la ofisini,tuliposhuka tu hako kamlima,secretary akafanya "aaahuuu".tukamuuliza vp,akijibu "nimezisikia",wote tukacheka.
itakuwa keshakuja mjini! aliuliza march, 2013.
anhaaa kumbe uzi wa zamani
mkuu si utakuwa unaenda na kurudi kama mara 10 hivi mpaka upige bao kabisa? hahahaa!... kidding!hahahahaha...kama ni hivyo itabidi nami nikatishe hapo na kamkweche kangu halafu nikikaribia hapo nakamua mafuta ili nifaidi wakubwa wanavyo faidi.lol
hahaha nilishakuja mjini ingawa mwanaFA na AY waliimba "usije mjini".
ni wa zamani lakini nimeuibua leo kwa kuwa wengi wetu tumepumzika majumbani,hivyo siyo siku mbaya kujadili ishu za kilima nge*#.btw mi mwenyewe nipo kwenye kausafiri naelekea masaki kwa wifi yako na lazima nipitie hapo kuamsha "mahanjamu".lol
hii hali nilidhani mimi tu kumbe wengi eeeh ila ukikemea wakati umekaribia kushuka kilima husikiii