Kilichowatia shombo CCM ni Bunge

Kilichowatia shombo CCM ni Bunge

kisiri mwihechi

Senior Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
135
Reaction score
24
Wakati upinzani ulionekana kutetea maslahi ya taifa ccm walikomaa kulindana. Sasa majimbo hayoo yanakwenda ukawa.nani wa kulaumiwa.rejea issue ya escrow na mivutano kwenye bunge la katiba mpya.
 
Ukuchapao ndo ukufunzao.Nafikir ni fundisho kwa ccm na wote wenye dhamana kujal walowaweka madarakani
 
Back
Top Bottom