Walikotokea ni kuzuri sana ukilinganisha na mikoa mingi hapa Tanzania. Hawajidai wala kuwa na madharau... sema wanajiamini sana ila nyie ndo mnawatafsiri kivingine. Kama we mwanamke jaribu kuingia kwenye mahusiano na Muhaya uta-enjoy sana. Usisahau kurudi hapa kunipa shukrani.