Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,739
Dah hii picha ya pili kuna mtu alinitumia anakaa maeneo ya Katoma Ta Muganyizi
mkubwa,
naandaa tv program kuhusu hii kitu,bado nakusanya clips nk
nikimaliza nitarusha kwenye kipindi cha barua na kisha nitaingiza hapa ili wadau wajue hii mbinu
ingawa siyo wahaya tu bali wanakagera, maana kuna wahindi wengi sana kama wa kule kamachumu nk wamesoma kwa hii kitu.
Ahahaha!inafuata kitu Omuramba no rubisi!Habari ndo hiyo kaka..........hapo tunapika kitu hiyo maeneo ya Amwiga bwatana akyogo!!!!
Nshaisikiaga hii kitu nkonyagi bhana....gf wangu wa kihaya alinitel...kuuumbeeee....Kwetu Rombo mpakani na kenya wazee wetu walikua wanaenda kuiba bia Kenya na kuja kuziuza Moshi na Arusha miaka ile ya ujamaa ili watoto tupate ada za kwenda seminary...lol..watu jamani na maisha...???
mkubwa naandaa tv program kuhusu hii kitu,bado nakusanya clips nk nikimaliza nitarusha kwenye kipindi cha barua na kisha nitaingiza hapa ili wadau wajue hii mbinu ingawa siyo wahaya tu bali wanakagera, maana kuna wahindi wengi sana kama wa kule kamachumu nk wamesoma kwa hii kitu.
Umenikumbusha mbali sana hasa kwenye kukusanya "EMBILE"! We acha tu, mzee wangu alale mahala pema peponi. AMEN!Ukiwaona prof Mukandara, Baregu, akina Rwaitama, na wengine wengi wamesomeshwa na hii kitu..........hamna ubishi sio kashfa lakini ukweli ndo huo hii imepeleka watu mbali sana
Maandalizi ya kilichosomesha watu
Baadae tuna under go fractional distillation. Jamani mkiona watu wanakmaakubaki kwenye nyadhifa zao mjue hawataki kurudi walikotoka. Kwa hii kitu watu tumechanja sana kuni.............watu ni ma prof..........lakini hii kitu ndo imewasogeza. Leo hii kuna ugomvi meya na Amani wala hawaingilii kati........wamebana hukohuko hawataki tuadvance hata kidogo.
Jioni njema..............kuna watu wakubwa sana humu wanachangia JF mada mbalimbali lakini biography yao wamesomeshwa na hii kitu.
Hii kitu ni sehemu nyingi za Tanzania imewatoa watu. Tunatofautiana tu malighafi za kuitengeneza. Ina soko hadi leo.
Ukiwaona prof Mukandara, Baregu, akina Rwaitama, na wengine wengi wamesomeshwa na hii kitu..........hamna ubishi sio kashfa lakini ukweli ndo huo hii imepeleka watu mbali sana