Kilichonifanya Niache kununua Dada poa(Malaya)

Kilichonifanya Niache kununua Dada poa(Malaya)

Status
Not open for further replies.
Joined
Jul 25, 2021
Posts
12
Reaction score
8
Kwanza kabisa!
Heshima kwenu watumiaji wa pampuchi za Bei Nafuu pamoja na wale wote walio kwenye mahusiano..

Sitaki kuwachosha Sana.. Yafutatayo ni Mambo yalionifanya Nichukie kwa dhati ununuzi wa Pampuchi kwenye mwaka huu wa fedha(2020-2021).

1.Mazingira mabovu ya ufanyaji wa mapeNzi!
Mara Nyingi vyumba na Guest wanazotumia hazima mazingira mazuri Yani ni pachafu kupita kiasi, mbaya Zaidi na kinyaa ni kilo kisado Cha kuwekea condom zilizotumika yaani ni zaidi ya uchafu.

2.Kunasiku nilienda Temeke Sudan! Nikakutana na msichana kakamata gori(Yupo mlangoni) muuni nikaingia.. Ile namuangalia mgongoni nikakutana na makovu mazito na alama za nyuzi kwenye UTI wa mgongo! Aisee pale pale genye zilipotea nikaondoka nduki.

3.Ni aibu na fedheha mbele ya jamii! Yaani kila nikitoka baada ya genye kuondoka huwa najiona mpuuzi Sana Hali iliopelekea kupata msongo wa mawazo takribani wiki nzima.

4.Ni mikosi na kujichafulia nyota... Yaani nilikuwa nikienda kwenye eneo la huduma Basi wiki nzima lazima iwe ya mikosi! Nasema hivi nikiwa na maana mapeNzi ni suala la kiroho hivyo Kama unalala na kahaba Basi anakupa roho ya kikahaba.

Mkasa wa Mwisho..
Ilikuwa tarehe 01/07/2021 Nilipatwa na Genye nikaenda maeneo ya Temeke Sudani! Nikakutana na Mtoto matat! Ambae Yupo tayari kwa Tendo!
Basi nikaingia akaniambia Bei Ni elfu 5 nikamwambia usijari nakupa buku nane! Mana najua jinsi gani huwa nachelewa kumaliza Mechi! Hii ni kutoka na kutojihusisha na chaputa...

Basi pale napiga mzigo kuangalia. Kwenye meza naona Kuna kopo la Arv, moyo ukalia pwaaaaah nikasema nishaupata.... Nikajua moja kwa moja huyu dada Ana ukimwi ndio maana anakopo! Kwakuwa nilikuwa nakalibia kumaliza Basi nikajipa ujasiri ili nimalizie hela yangu.

Ila nilipotoka nilianza kujua kabisa Nina ukimwi! Basi zoezi la kusubiri wiki mbili za mwanzo( acute primary infection) zilianza baada ya wiki nikapata dalili Kama malalia nikajua kabisa Hawa virusi wameshaingia! Nikaanza kujialumu! Nikaenda pharmacy nikaomba dawa na malaria bila kupima nikapewa zile za kijani Ila huwa natumia mseto Basi baaba ya siku mbili mwili ukawa unawasha aise nikasema hii itakuwa dalili ya ukimwi! Baada ya hapo nikamuulzia daktari! Akasema Kama ulikuwa unatumia dawa tofauti ya malaria Basi mwili huwa unapata reaction thus why ulikuwa unawasha!


Baada ya hapo Hali yangu ya Afya ikawa poa...
Na
10/10/2021... Nimeenda kupima Virus vya ukimwi nimekutwa Sina! Ila nimeambiwa Tena niende baada ya miezi mitatu!

Vijana wenzangu acheni kutumia Madada poa ni hatari!

Sasa hivi Nina Shemeji yenu ambae ndio ndoto ya maisha Yangu! Leo nimeenda kupima nae Tena nimekutwa Sina na yeye Hana muda huu kaenda kuoga aje tupumzike...

Vijana acheni matumizi ya dada poa
 
kaoe tu !
kama muislamu timiza hata watatu !
inaonyesha unapenda ngongo kuliko bia na wewe mkazi wa temeke kama sio buza,tandika,kona za bandari,karibu na buguruni,mbagara.

mademu waliopo mtaani wanataka kuolewa ! na wewe unaangika na stori zao tunazisikia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom