Kilichomwangusha Chibu Dangote BET 2016 ni hiki

1) Hakuwa na kazi inayoeleweka ambayo ingemfanya aongeleke au jina lake lizunguke vichwani mwa watu
Ingekuwa hoja basi angeshinda WizKid! Hoja zingine zimekaa kiporojo zaidi... kwa mfano, suala la Ali Kiba cjui lina uhusiano gani na kutopata tuzo kwake unless kama tu ulitaka ku-force kumlinganisha nae ingawaje unafahamu mmoja ni BET nominee in two years row na mwingine tangu dunia hii ianze hajawahi kuwa nominated!
 
ab990b395a5f50907a99609077662fc0.jpg
umeandika umbeya bira kufanya uchunguzi,kama umefanya uchunguzi umeandika kwa chuki zakijinga sana.

Haya kama baraka ni izo hapo alizipata kwa mama tiffah.uo usaliti unaousema wewe kaufanya diamond ni upi? Kwa nani? Lini? Wapi? weka ushaidi usiandike kwa kusoma magazeti ya WEMBE na SHIGONGO.
Zari mbaguzi badala ya kusema back to Tanzania...hakuna nchi inayoitwa east africa
 
Kukosa tuzo ni jambo la kawaida tu ndo maana ya kushindana,bahati tu haikuwa yake ni kama msanii mkali belle 9 tuzo zinavyomruka,au Bruno Mars licha ya kutoa hit baada ya hit bado tuzo zinamkwepa,so tuendelee tu na mambo mengine!
 
Back
Top Bottom