Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,175
- 143,960
Joe hatodumu zaidi ya muhula mmoja.Upande wa tabia zake i agree.,
And Joe is the opposite of that
Ofcourse kwa factor ya umri..he will be too old next time,.He js wanted to fulfill his long time dreamJoe hatodumu zaidi ya muhula mmoja.
Na kama nilivyosema awali, watu hawakumpigia kura Joe.
Walipiga kura dhidi ya Trump.
Trump ni mtu wa ajabu sana.
Wakati mwingine huwa nadhani ana hitilafu ya kiakili.
Nikupe mfano mmoja tu, ingawa iko mingi sana.
Mapema mwaka huu ali-retweet tweet mmoja iliyomwonyesha mshabiki wake akisema “white power”.
Ni mtu gani mwenye akili timamu, achilia mbali nafasi aliyonayo kama Rais, anaweza ku retweet kauli ya kibaguzi namna hiyo?
Rais aliyepo madarakani na ambaye anagombea tena muhula wa pili, anafanya mambo kama hayo!
Alikuwa anategemea nini?
Joe wala hakuwa mgombea bora.
Na kawekwa tu hapo kama Rais wa mpito.
Lakini licha ya mapungufu yake yote, sidhani kabisa Joe anaweza kufanya mambo kama Trump afanyavyo.
Huko ni yuesiei mkuu,siyo AfricaYani tume ya uchaguzi haimsikilizi rais!
Fukuza yote unda nyingine.
Bw Trump chukua ushauri huu.
Suala la kutokua kwenye system....come on.Ofcourse kwa factor ya umri..he will be too old next time,.He js wanted to fulfill his long time dream
nadhani suala la kutokulia kwenye 'system' ya siasa nayo ni issue.,he came in as an outcast..so he tends to be loose canon kwa vitu ambavyo u dont expect from the president,.tena wa US,..i feel like kuna muda yani huwa ni anajisahau yeye ni nani sijui
Mfano mwingine his twitter behaviour..unbelievable
and even more crazy now that he wont concede.,ila atatia akili tu siku si nyingi
I think the US really needed mtu mwenye character ya Biden for now
Ngabu!! Wewe muhula wa kwanza wa Trump ulikuwa unashambulia kila anayemkosoa Trump.Ni ajabu nawe umemgeuka.Nani alikwambua Tabia mbaya ya Mtu mzima hubadurika?Joe hatodumu zaidi ya muhula mmoja.
Na kama nilivyosema awali, watu hawakumpigia kura Joe.
Walipiga kura dhidi ya Trump.
Trump ni mtu wa ajabu sana.
Wakati mwingine huwa nadhani ana hitilafu ya kiakili.
Nikupe mfano mmoja tu, ingawa iko mingi sana.
Mapema mwaka huu ali-retweet tweet mmoja iliyomwonyesha mshabiki wake akisema “white power”.
Ni mtu gani mwenye akili timamu, achilia mbali nafasi aliyonayo kama Rais, anaweza ku retweet kauli ya kibaguzi namna hiyo?
Rais aliyepo madarakani na ambaye anagombea tena muhula wa pili, anafanya mambo kama hayo!
Alikuwa anategemea nini?
Joe wala hakuwa mgombea bora.
Na kawekwa tu hapo kama Rais wa mpito.
Lakini licha ya mapungufu yake yote, sidhani kabisa Joe anaweza kufanya mambo kama Trump afanyavyo.
Wewe ni muongo.Ngabu!! Wewe muhula wa kwanza wa Trump ulikuwa unashambulia kila anayemkosoa Trump.Ni ajabu nawe umemgeuka.Nani alikwambua Tabia mbaya ya Mtu mzima hubadurika?
Joe Biden Ni kiongozi Bora angalia history yake nyuma