Well said. A lesson to chew.Kikubwa kabisa kilichomponza Trump ni tabia.
Hakubadilika hata kidogo aliposhinda urais.
Tabia na mwenendo wake [character] watu wengi sana hawapendezwi nayo.
Kwa mfano, Trump hakupaswa kushindwa kwenye jimbo kama la Arizona. Jimbo la John McCain. Shujaa na mateka wa vita.
Ndiyo, enzi za uhai wake McCain, yeye na Trump zilikuwa haziivi.
Lakini, hata baada ya McCain kufariki, Trump bado tu akaendelea kumsema vibaya marehemu.
Sasa kwa tabia kama hiyo, unategemea kweli angeshinda kwenye jimbo analotokea McCain?
Arizona wanajivunia kuwa na Seneta kama McCain.
Trump kuendeleza bifu na marehemu kuliwaboa watu wa Arizona na wakaamua kumpa fundisho kwenye sanduku la kura.
La, kwenye hali ya kawaida, Arizona ni jimbo la Republican.
Hata 2016 Trump alishinda Arizona tena kwa kura za kutosha kabisa.
Sasa tabia na mwenendo mbaya, ongeza na corona juu yake, ni vigumu sana kushinda.
Kama seneti Republicans wataendelea kuwa na viti vingi, na kule kwenye chemba ya wawakilishi wameongeza viti, ni wazi kabisa watu walio wengi hawaipendi tu tabia yake na wanataka aondoke.
Biden kamwe hajawahi kuwa mgombea mzuri. Kawekwa tu hapo awe Rais wa mpito.
Muogope MUNGU na internet-Ruge (R.I.P)Trump ananyweshwa dozi yake mwenyewe. Hii ilikuwa tweet ya mwaka 2012 akidai hakuna haja ya kufanya recount. Atulie tu sasa dawa imuingie kisawasawa!
View attachment 1620676
Kashindwa ku deliver kitu gani?Kilichomponza ni kashindwa ku-deliver!
Mpaka sasa USA is great kwenye vitu viwili tu.
1- Defense spending.
2- Idadi kubwa ya watu wazima wanaoamini angels are real.
Baba umeua we ninomaKikubwa kabisa kilichomponza Trump ni tabia.
Hakubadilika hata kidogo aliposhinda urais.
Tabia na mwenendo wake [character] watu wengi sana hawapendezwi nayo.
Kwa mfano, Trump hakupaswa kushindwa kwenye jimbo kama la Arizona. Jimbo la John McCain. Shujaa na mateka wa vita.
Ndiyo, enzi za uhai wake McCain, yeye na Trump zilikuwa haziivi.
Lakini, hata baada ya McCain kufariki, Trump bado tu akaendelea kumsema vibaya marehemu.
Sasa kwa tabia kama hiyo, unategemea kweli angeshinda kwenye jimbo analotokea McCain?
Arizona wanajivunia kuwa na Seneta kama McCain.
Trump kuendeleza bifu na marehemu kuliwaboa watu wa Arizona na wakaamua kumpa fundisho kwenye sanduku la kura.
La, kwenye hali ya kawaida, Arizona ni jimbo la Republican.
Hata 2016 Trump alishinda Arizona tena kwa kura za kutosha kabisa.
Sasa tabia na mwenendo mbaya, ongeza na corona juu yake, ni vigumu sana kushinda.
Kama seneti Republicans wataendelea kuwa na viti vingi, na kule kwenye chemba ya wawakilishi wameongeza viti, ni wazi kabisa watu walio wengi hawaipendi tu tabia yake na wanataka aondoke.
Biden kamwe hajawahi kuwa mgombea mzuri. Kawekwa tu hapo awe Rais wa mpito.
Upande wa tabia zake i agree.,Kashindwa ku deliver kitu gani?
Angekuwa kashindwa ku deliver ungeona hata down ballot candidates wakishindwa vibaya sana.
Hilo halijatokea.
Ni character yake ndo iliyomwangusha.
Hakubadilika alipochaguliwa kuwa Rais.