Wakabambee58
JF-Expert Member
- Aug 14, 2020
- 1,120
- 1,576
Na mada wanazo toa basi!!! Hata JMK aliwahi kulalamikia uwezo wa chawa wao🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kisera - ❌
Kisela -✔️
Huu msemo wa kisela ( sailor )/ baharia ulitokea miaka ya 70 mpaka 80 mwishoni baada ya wale mabaharia walipokuwa wakirudi kutoka safari za meli barani ulaya walirudi na pombe cha kopo, vito vya thamani, nguo zilizokuwa zinapendwa na vijana za enzi hizo ulaya , pesa n.k ndio wakatohoa kuja kuitwa masela/ ma-sailors .
Hivi UPE ilifutwa siku hizi maana machawa naona kigezo cha kukabidhiwa kazi ni lazima uwe ulikimbia umande.?