Kilichojiri Interview ya PPF

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,533
Reaction score
3,838
Habari zenu wakuu.

Kwa ambao mmenda interview za asubuhi tungependa mtupe mrejesho wa huko hiyo interview ya dakika 20 ipoje? ni aptitude test au ni interview ya namna gani?
 
Habari zenu wakuu,

Kwa ambao mmenda interview za asubuhi tungependa mtupe mrejesho wa huko. Hiyo interview ya dakika 20 ipoje? Ni aptitude test au ni interview ya namna gani?
kuangalizia hakujawahi kumuacha mtu sa
 
Habari zenu wakuu,

Kwa ambao mmenda interview za asubuhi tungependa mtupe mrejesho wa huko. Hiyo interview ya dakika 20 ipoje? Ni aptitude test au ni interview ya namna gani?
WATU KWA HARAKAHARAKA KAMA 2500 NADHANI ZAJIONI ZITAKUWA 20000 MANA KUNA JOMBAA ZIPO OFISINI SASA
 
Hahaaaaa mwaka juzi nilifanya interview ppf ya kwanza nikapita ya pili sikupewa jibu kabsaaaaa. ..

Maswali yao sasa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
 
1) Vision
2) Mission,
3) Mafao yanayotolewa na PPF,
4) Schemes walizo nazo PPF,
5) Kima cha chini cha Kufungua Wote Scheme,
6) Masharti ya Mwanachama (Mfaidika) kupata fao la Elimu
7) %ge ya Uchangiaji kati ya Mwajiri na Mwajiriwa
8) ......
9) ......
10) ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…