Kilichojiri Interview ya PPF

Kilichojiri Interview ya PPF

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,533
Reaction score
3,837
Habari zenu wakuu.

Kwa ambao mmenda interview za asubuhi tungependa mtupe mrejesho wa huko hiyo interview ya dakika 20 ipoje? ni aptitude test au ni interview ya namna gani?
 
Habari zenu wakuu,

Kwa ambao mmenda interview za asubuhi tungependa mtupe mrejesho wa huko. Hiyo interview ya dakika 20 ipoje? Ni aptitude test au ni interview ya namna gani?
kuangalizia hakujawahi kumuacha mtu sa
 
Habari zenu wakuu,

Kwa ambao mmenda interview za asubuhi tungependa mtupe mrejesho wa huko. Hiyo interview ya dakika 20 ipoje? Ni aptitude test au ni interview ya namna gani?
WATU KWA HARAKAHARAKA KAMA 2500 NADHANI ZAJIONI ZITAKUWA 20000 MANA KUNA JOMBAA ZIPO OFISINI SASA
 
TETESI ZILIZOPO KUNA WATU WAMESHANDALIWA KWA AJIRI YA KUFANYA HII KAZI ...........

SISI TUNAOFANYA INTERVIEW NI KAMA BORTION ILA WATU TAYALI WALISHAANZA KAZII """"".

ACHA KUHISI HISI HIZI AKILI NI KAMA ZA MANDEZI HIVI...SISI TUPO HAPA KWENYE ENEO LA TUKIO NATAMBUA KUWA UNAONA WIVU SANA...

NAJIANDAA KUANZA KAZI PALE PPF FUND, HAPA NISHAWEKA PLAN YA KUVUTA NDINGA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TETESI ZILIZOPO KUNA WATU WAMESHANDALIWA KWA AJIRI YA KUFANYA HII KAZI ...........

SISI TUNAOFANYA INTERVIEW NI KAMA BORTION ILA WATU TAYALI WALISHAANZA KAZII """"".
AKILI ZA KINDEZI HIZI, SISI TUPO HAPA DUCE NA TUNASUBIRI PEPA YA SAA SITA YAANI LEO HATOKI MTU HADI KIELEWEKE,,,,,

NAJUA UNAUMIA SANA KUTOKUWEPO HAPA JAMVINI..

NA HAPA NINAUHAKIKA WA KUTUSUA NA UTANIKUTA KULE PPF FUND NA ZAIDI NAPIGA PLAN YA KUVUTA NDINGA NA KUTAFUTA MTOTO MKALI SANA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1) Vision
2) Mission,
3) Mafao yanayotolewa na PPF,
4) Schemes walizo nazo PPF,
5) Kima cha chini cha Kufungua Wote Scheme,
6) Masharti ya Mwanachama (Mfaidika) kupata fao la Elimu
7) %ge ya Uchangiaji kati ya Mwajiri na Mwajiriwa
8) ......
9) ......
10) ....
 
Back
Top Bottom