Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,086
- 7,093
Mlishwa makombo mwingine huyu hapaRais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa elimu ya Juu nchini TAHLISO na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mama asemewe Geofrey Kiliba amehoji uhalali wa baadhi ya wananchi wanaomtusi na kutoa lugha za fedheha kwa Viongozi wa serikali akiwemo Rais Samia Suluhu Hassan, akisisitiza umuhimu wa kuwaheshimu na kuwalinda Viongozi wa serikali.
Akibainisha mafanikio makubwa yaliyopatikana katika kipindi cha miaka minne ya Rais Samia wakati akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar Es Salaam leo Jumatatu Agosti 18, 2025.
Huyu mtoto bado ananuka maziwa ya mama yakeRais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa elimu ya Juu nchini TAHLISO na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mama asemewe Geofrey Kiliba amehoji uhalali wa baadhi ya wananchi wanaomtusi na kutoa lugha za fedheha kwa Viongozi wa serikali akiwemo Rais Samia Suluhu Hassan, akisisitiza umuhimu wa kuwaheshimu na kuwalinda Viongozi wa serikali.
Akibainisha mafanikio makubwa yaliyopatikana katika kipindi cha miaka minne ya Rais Samia wakati akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar Es Salaam leo Jumatatu Agosti 18, 2025.
Huyo kiliba tumbo atamtetea rais kama nani aache kulinda ukoo na familia yake inayoteseka.kwa njaa huko kisiju amtetee saa100Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa elimu ya Juu nchini TAHLISO na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mama asemewe Geofrey Kiliba amehoji uhalali wa baadhi ya wananchi wanaomtusi na kutoa lugha za fedheha kwa Viongozi wa serikali akiwemo Rais Samia Suluhu Hassan, akisisitiza umuhimu wa kuwaheshimu na kuwalinda Viongozi wa serikali.
Akibainisha mafanikio makubwa yaliyopatikana katika kipindi cha miaka minne ya Rais Samia wakati akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar Es Salaam leo Jumatatu Agosti 18, 2025.
Kiliba au kijibaHivi kiliba ndio nani
Huyu ni muha mhamiaji toka Burundi.Hivi kiliba ndio nani
Basi hajitambui, anao ubavu wa kumlinda mama kama sio unafiki wa kiwango cha juu,Huyu ni muha mhamiaji toka Burundi.