kilchonitokea baada ya kuformat

emboaba

Senior Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
143
Reaction score
117
habar wadau..
juz nmeletewa cm na jamaa angu flan iv akdai cm ake imekuwa slow(nzto)aljarbu kla njia kuirudsha kasi yake akashndwa akataka nmsaidie kuiformat (kwasabu huwa akniona naformat ksamsung changu) baada ya kuiformat yake ikadai iingze email ilotumika mara ya kwanza au namba ya cm...kumbe cm alinnua kwa mtu! msaada jns ya kutatua hl lililo mbele ake

nb.. brand ni tecno W2
 
skip hiyo sehemu ya email ya mwanzo! uingize mpya
 
Option nyingine ni kuweka room nyingine
Nb PC inaweza kuhitajika hapa.
 
Sasa kama alinunua kwa mtu, kwanini asimfuate amps hiyo email!
 
Hizo tecno kubypass ni rahisi zina matundu kila sehemu.

Fanya kama unaingiza input yoyote ya maneno kisha keyboard ikitokea nenda setting ya keyboard tafuta kitu kinachotaka internet kibonyeze itakuletea error kisha bonyeza network setting itakupeleka setting ya simu.

Ukiwa kwenye setting ya simu tegemea na simu na simu. Nyengine ukireset ukiwa kwenye setting na frp ipo on inaondoka.

Nyengine haziondoki inabidi utafute msaada wa app nyengine. Kudownload app unaenda kwenye app kisha tafuta app kama youtube nenda terms and condition itakupeleka utumie browser yako kufungua hizo terms. Browser ikifunguka unadownload app husika ya kutolea.

Mfano wa app maarufu ni "test dcp" unaipata apk mirror. Hii ina encrypt na kureset simu na kutoa hio frp.
 
Baada ya kui-hard reset simu fuatisha maelekezo yote mpaka kuunganisha WiFi.

-Ukishamaliza kuiunganisha bonyeza alama ya settings. Itakufikisha kwenye Languages.

-Chagua 'Add Language

-Zima hotspot kisha bonyeza lugha yoyote ili uidownload, itakwambia hauna network hivyo itakutaka uende kwenye settings.

-Ingia kwenye Settings, usiingie kwenye Backup & Reset

Ukishaingia kwenye settings washa tena Hotspot.

-Nenda kwenye Apps, ingia, kisha ifuate Chrome.

-I-Launch Chrome. Kisha andika hivi 'Lavilleztech' Ingia hapo.

-Download Google Account Manager, chagua ambayo inaendana na Version ya simu yako. Utakuta Google Account Manager kwa ajiili ya 5, 6, 7. Kama haujui Version yako download zote tu.
Kisha install

-Kisha download FRP Removal (Utaikuta humo humo). Kisha install.

-Kisha search 'Menu Button' idownload na install.

-Ifungue Menu button, bonyeza display. Itakuletea kawindow ka kuset up command ili ikuruhusu kudisplay.

-Ukimaliza kuswitch on commands

-Ukimaliza kuswitch on commands zote. Ukibonyeza Display, itatokea icon yenye alama ya Ku-Back, Home, Recent Apps na Vidoti 3 vinaangalia chini.

-Bonyeza hivyo vidoti. Itakutaka uichague yenyewe. Ichague.

-Itatokea neno 'Browser Sign In' bonyeza hiyo.

-Itakuleta eneo la kuingiza Email (Gmail) na Password. Ingiza kisha restart simu.

-Ikiwaka itakwambia Account Added. Endelea kuiactivate simu.

-Ikimaliza nenda kwenye settings, kisha Back Up & Reset, Reset simu.
 

bt imekuwa mpya kama imetoka shop mzee.. kwasabu haya maelekezo dzain kama imevuka stage hii ya kuingza email
 
bt imekuwa mpya kama imetoka shop mzee.. kwasabu haya maelekezo dzain kama imevuka stage hii ya kuingza email
Hapana haya maelezo hayajavuka hiyo stage ya kuingiza Email kinachofanyika ni njia mbadala endapo huna access na hiyo email ya kwanza kutumika.

Hakikisha unai connect na internet kupitia kifaa kingine (wi fi) halafu fuata maelekezo hayo
 
Kazi nyepesi ndugu yangu [emoji16][emoji16][emoji16]mpelekee funid wa software
 
zama google bypass or nck crack reset frp
 
siku format IM or Oppo ndio utajua kwa nini hii kazi inakua ngumu siku hadi siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…