Mwalimu kuna muda ni hakimu, kuna muda ni askari, kuna muda ni askofu/sheikh.Wadau hii shule ya kilangalanga wameamua kufuga majambazi.
Juzi tu mwanafunzi mmoja ambae alipewa adhabu na viranja kutokana na tabia yake ya wizi eti ameamua kuwakimbiza watu mabwenini akiwa na panga na kuleta taharuki kubwa shuleni.
Hivi kweli mwalimu mkuu na walimu wengine mpo serious?
Mwanafunzi amechukua fyekeo na kulikata kisha kulinoa mpk kugeuka panga na kuanza kukata wanafunzi wenzie halafu mpo tu mnashindwa kumpeleka polisi huko akataje panya road wenzake asaidie polisi?
Kuwafundisha watoto hamfundishi, watoto wanakomaa kujisomea wenyewe halafu nyie hata kuwalinda tu kuhakikisha wanasoma katika mazingira salama kumewashinda pia.
Kuna vitu havistahamiliki watoto wanakimbia nyumba za jirani kuomba msaada walimu ambao ndio walezi wa hawa watoto wala hamna habari mnamuacha tu huyo mwanafunzi jambazi anazurura bila hatua yoyote!
Waziri na wadau wa elimu tafadhali nyoosheni hii shule kwani sasa imekuwa hatari tupu kwa usalama wa wanafunzi!
Mbona wakiwaangushia mfueni watoto wenu hadi kuwavunja mnachukia?Mwalimu kuna muda ni hakimu, kuna muda ni askari, kuna muda ni askofu/sheikh.
Lawama zote kwao
Mlandiz kibaha karib na ruvu jktIpo mkoa gn boss
Bila shaka ni Mkoa wa pwan wilaya ya kibaha unashukia mlandizi. Miaka kadhaa nyuma niliwahi Kufika hapo kwa majukumu ya UkwataIpo mkoa gn boss
Pwani,bila shaka ni Ile ya MlandiziIpo mkoa gn boss
Hebu tulia kwanza upo nasi salama usiogope, hiyo shule iko nchi gani? Sasa bila kujua iliko hatua zitachukuliwaje!Wadau hii shule ya kilangalanga wameamua kufuga majambazi.