Weka picha yake nitakuambia kwann hataki pesa yako.....
Na pesa unayo au unajishembendua bure....wewe umesema demu mkali unamgonga unamtoa na ela ya bajaji wakati yeye kaja na vogue, hiyo pesa yako haitoshi hata kujaza upepo tairi za gari yake....
Kibaya zaidi unamgongea getho kwako kwanza kuchafu hakuna ma airfreshner ya maana ...hilo joto sasa...utadhani mko kiwanda cha kuyeyusha vyuma na mtoto kazowea ac mpaka chooni anapokuwa anakata gogo full kipupwe.
Nadhani kaamua kukuachia visilesile vyako yeye anataka huduma yako ya mshedede...ila jiandae siku "baba au babau" yake akijua unamgongea mjukuu wake....lazma na wewe uliwe tuu.
Ndioooo...utaliwa bwana mdogo wala sikutaniii.....umesahau kila mla cha mwenzie chake nacho uliwa.