Kila wikendi anataka nifanye nae mapenzi


gori la mkono hilo
 
Yaani mapenzi yamekuwa biashara kiasi kwamba binti asipoomba hela mtu anaanza kuwa na mashaka.

Wanawake wasiotaka senti zetu wapo, Wana kazi zao, pesa zao na maisha yao. Nilikuwa na binti mmoja mdogo mdogo hivi, anafundisha chuo. Hakubali kutolewa out bila ya yeye kuwa na hela, lazima kitu fulani alipie, either drinks or food.

Tulishindana mambo mengine, ila kwa maswala ya fedha alikuwa unique.
 
Wakipokea wanapenda hela, wakikataa nitatizo pia.
 
Kaka huyo binti ni janja sana u better be careful kwani anakuvizia tu maana kuna siku atakupiga bonge la mzinga ambalo thamani yake itazidi hizo tip zako mara 100. Keep watching bro
 
hahahahhaha mimi napita tu nitarudi baadae kukoment hehehehehe
 
Kapime mkuu isije ikawa anakuonea huruma hyo pesa uje tumie kwa lishe na matibabu
 
duu! kila w/end..ina maana hanaga ata siku zake mkuu?:lock1:.............wengine mna bahati aiseee......
 
Wanaume bhana mkiombwa hela mnaanza kulalamika mabinti wa siku hizi ni omba omba na msipoombwa mnaanza kushangaa kwann sasa jema kwenu lipi??????!!!!

Hao sio wanaume ni watoto wa kiume
 
Anakutafutia dildo akugegede na wewe. Kila mla cha mwenzie na chake pia huliwa

Hahahahahahahahahahahahahhahah ahahahahahahahahahahah
We buibui kweli

Afanyeje eti??
 
Mm nadhani ingekuwa vyema kama ungeleta na namba yake kwa pm, ili tukusaidie zaidi! Au unaonaje?! Pengine wewe ni wale wa t vigoli viwili, tatu hadi kuchee.., number yake plz! Hatakusumbua tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…