Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,271
- 13,430
Wanajanvi kwanza nianze kwa kuwapa hi. Mko powa jamani? Mimi ninashangazwa na tabia wanayoifanya madada wengi wa huku kwetu uswazi, nimefikisha kama saba hivi, ambao niliwahi kuwaomba mechi nigegede wakanitolea nje,kipindi hicho wakiwa bado mabinti chuchu ziwa konzi, cha ajabu wakizalishwa tu na washikaji wanaanza kujipendekeza mara "J" sikuhizi umekuwa soft, mara "J" natamani nije geto kwako tupige stori, mara "J" ninunulie soda n.k. Nawaangalia wamechoka ki ukweli matiti yamesha legea kama yebo yebo au mapapai. Sasa jamani niwafanyeje? Maana yake mimi ninafaa kula makombo?
teh teh teh! Una nyota ya kula makombo