tunaipitia wapi....?
Mi bado cjaielewa thread yako vema! Mwenye uelewa anifafanulie kidogo maana naona (imma.one) ana maana fulani lakini naona ana matongotongo bado.
kalabrasha ndo nini?
Yap namaanisha unaingia jf chart, pale juu utakuta home,newpost,cp,new pm na search,
sasa nenda kwenye search andika title Kalabrasha tata kisha watakuletea post nyng ikiweka kalabrasha tata au pia unaweza kuiona kwa list bila ku-search nadhani nimeeleweka wapendwa
Mwana jf kila uamkapo asubuhi utakutana na KALABLASHA TATA ambapo ndani kutakuwa na mada ya kuzumzia kwa asubuhi hiyo tafadhali usikose kupitia.
Hii itaanza kesho nenda search andika kalablasha tata kisha soma na utoe maoni yako.mada hizi zitatoka kwa watu tofaut wenye uwezo wa kufikiri wa hil ya juu "IQ".
Pia unaweya pendekeza mada ya kuongelewa cku zijazo.
Pitia kalabrasha tata kila cku uwe miongoni mwa wenye kufurahia jf.