Kila Uamkapo asubuhi saa 7:00am-10:00am

imma.one

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
542
37
Mwana jf kila uamkapo asubuhi utakutana na KALABLASHA TATA ambapo ndani kutakuwa na mada ya kuzumzia kwa asubuhi hiyo tafadhali usikose kupitia.
Hii itaanza kesho nenda search andika kalablasha tata kisha soma na utoe maoni yako.mada hizi zitatoka kwa watu tofaut wenye uwezo wa kufikiri wa hil ya juu "IQ".
Pia unaweya pendekeza mada ya kuongelewa cku zijazo.
Pitia kalabrasha tata kila cku uwe miongoni mwa wenye kufurahia jf.
 
tusearch kwenye nini, au na wewe unaleta za wenzio wa marekani walotupotezea then wakala rushwa wakasepa.
 
Mi bado cjaielewa thread yako vema! Mwenye uelewa anifafanulie kidogo maana naona (imma.one) ana maana fulani lakini naona ana matongotongo bado.
 
Yap namaanisha unaingia jf chart, pale juu utakuta home,newpost,cp,new pm na search,
sasa nenda kwenye search andika title Kalabrasha tata kisha watakuletea post nyng ikiweka kalabrasha tata au pia unaweza kuiona kwa list bila ku-search nadhani nimeeleweka wapendwa
 
nilidhani unaanzisha jukwaa. Kumbe ni post kama post nyingine.
 
Mwana jf kila uamkapo asubuhi utakutana na KALABLASHA TATA ambapo ndani kutakuwa na mada ya kuzumzia kwa asubuhi hiyo tafadhali usikose kupitia.
Hii itaanza kesho nenda search andika kalablasha tata kisha soma na utoe maoni yako.mada hizi zitatoka kwa watu tofaut wenye uwezo wa kufikiri wa hil ya juu "IQ".
Pia unaweya pendekeza mada ya kuongelewa cku zijazo.
Pitia kalabrasha tata kila cku uwe miongoni mwa wenye kufurahia jf.

acha upuuzi. Kwahiyo wanaotuma post nyingine hawana IQ za juu kama wanaotuma karabrasha tata?.
Akili yako ni karabrasha.
 
Mwana jf kila uamkapo asubuhi utakutana na KALABLASHA TATA ambapo ndani kutakuwa na mada ya kuzumzia kwa asubuhi hiyo tafadhali usikose kupitia.
Hii itaanza kesho nenda search andika kalablasha tata kisha soma na utoe maoni yako.mada hizi zitatoka kwa watu tofaut wenye uwezo wa kufikiri wa hil ya juu "IQ".
Pia unaweya pendekeza mada ya kuongelewa cku zijazo.

Pitia kalabrasha tata kila cku uwe miongoni mwa wenye kufurahia jf.

JF Chit chat.
 
Aliyeelewa anifafanulie kwa lugha rahisi nitakayoweza kuelewa...
 
Mbona hivyo jamani tumsikilize na kesho ndio tutajua kama ni upupu au la!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom