Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,198
Hivi hawa viongozi wa chadema mnawaelewa kweli wao kila siku ni kulalamika tu hakuna njia yeyote mbadala wanayoweza kuchukua kushughurikia matatizo yao.
Au kuna mtu mmoja upande ule ananufaika na hicho kinachoendelea sasa hivyo anashindwa kutoa maamuzi.
Siwezi kuwa upande wa makamanda wanaolalamika kila tukio,natakiwa kuwa upande wa makamanda wanaotake Action bila kuogopa.
Yaani wao kila siku wanaonewa ,hivi unaonewa bila kuchukua Hatua ya kujitetea kwa kila Onevu linalopita mbele yako.
Alafu bila haya eti wanajiita makamanda.
Bora upande ule wa UVCCM japo kuna ka muonekano ka kubebwa na baba yao lakini wana Viakili kidogo vya kubangaiza na siyo kulalamika bila sababu.