Jimmy George
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 1,733
- 1,650
Sawa mwanaume wa darkm ana ela poa, lkn masikin aisee hapana.
Mi mwanamke masikini sitak kumsikia, hata awe mzur vip.
Ni mzigoooo
Sent From Ikulu-Magogoni street
Jf ni raha tupu kama mombasa vile.Mkuu utakuwa una nyota ya fisi yani kula makombo a.k.a leftovers. Wewe ni scavenger mkuu hutaki kujishughulisha kukimbiza viswala vidogo dogo unataka vya rahisi walivyo uwa wenzio.
Nami nimesema kutongoza " watoto" ni Sana'a! Hivyo hawezi kutambua yupi ana umri MDOGO,umbo LA kutowahi kuzaa kwani kipaji hicho hakipo!Amesema huwa anagundua baadae cyo kabla
Mwanaume wa Dar ndie mwanaume kamili.
Not to this extent.It could be because they are the low-hanging fruit😀..