He is the creator of the Universe.He is alpha and omega.WHO IS GOD?!
Hujajibu swali.Mungu ameumba mazuri na mabaya ndio.Ila amempa mwanadamu utashi (intellect) ya kung'amua zuri lipi na baya lipi ili kuleta uwiano mzuri katika maisha.
Watakaochagua mabaya wataangamia na watakaochagua mema watadumu.In evolution tunaita natural selection in survival of the fittest.
Ila usinielewe vibaya.Sija kushurutisha kuamini mungu yupo kwa maana una uhuru wa kukata uwepo wa mungu.Hawa watu wanaitwa wapagani (atheists) na wana haki ya kufuata imani yao.
Nadhani nimeshajibu.Mungu alitengeneza kifo na kuzaliana ili kuleta uwiano mzuri wa viumbe duniani.Katengeneza mazuri na mabaya na amempa mwanadamu utashi ili ajue namna ya kuchagua zuri na baya na aweze kuvitawala viumbe vingine.Hujajibu swali.
Kwa nini kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
Kuna sisimizi anaangukiwa na mti na kufa, kifo ni kitu kibaya, kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao kifo cha sisimizi huyu kinawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao ubaya wowote hauwezekani?
Swadakta.Tutakufa bila ya kuwa na hayo majawabu.Mwache Mungu Ahimidiwe na haitwe Mungu
Katuachia maswali mengi sana na hakika majibu anayo yy muumba
Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao hauna kifo lakini una uwiano mzuri wa viumbe?Nadhani nimeshajibu.Mungu alitengeneza kifo na kuzaliana ili kuleta uwiano mzuri wa viumbe duniani.Katengeneza mazuri na mabaya na amempa mwanadamu utashi ili ajue namna ya kuchagua zuri na baya na aweze kuvitawala viumbe vingine.
kungekuwa hamna mabaya basi ata shetani asingekuwepo na mwanadamu asingekuwa na haja ya kuwa na ubongo.
Mimi sio msemaji wa Mungu ila nina amini uwepo wake na sina tatizo na imani yako ya kutokuwapo Mungu.Ni haki yako.
Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao hauna kifo lakini una uwiano mzuri wa viumbe?
Hujajibu swali nililouliza.Kifo ni sehemu ya uumbaji utake usitake.
Ni dhahiri unaogopa sana kifo.Kila binadamu anaogopa kifo.Kifo ni mojawapo ya sababu inayodhihirisha utukufu wa Mungu.
Upo sahihi kuamini mungu hayupo.Na ni haki yako.Mimi nina amini yupo.Tukubaliane kutokubaliana katika hilo.Hujajibu swali nililouliza.
Kifo si kitu kinacholetwa na mwenye mapenzi. Ndiyo maana Baba hamuui mwanawe. Ila Baba anafanya kila njia mwanawe asife.
Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aksumba ulimwengu ambao unaruhusu kifo wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hauruhusu kifo?
Issue si mimi kuogopa kifo. Issue ni logical consistency ya Mungu wenu.
Dhana ya Mungu wenu kuwepo haina logical consistency.
Vitu ambavyo havina logical cinsistency vinaashiria uongo.
Mungu wenu ni wa uongo. Hayupo. Ndiyo maana hana logical consistency.
Unaelewa hilo?
Hakuna sehemu halisi inayoitwa mbingu kama vile kuaivyokuwa na eneo maalumu kama makazi ya kudumu ya Mungu. Hivyo mbingu ni wazo la kiimani zinakowlekwa roho na kuishi ktk umilele pamoja na MunguKila ninavyoitafakari mbingu kuna mengi ya kushangazwa,
1:mbingu imetengenezwa na nini?
2:Ni umbali wa kiasi gani ili kuweza kuifikia mbingu.
3:mbingu tunayoina Angani ndiyo ile mbingu tuliyoandaliwa kukaa tukifika mbinguni?.
Hakika mungu ni mwema na mwenye uweza wa yote katikati ya Fumbo hili na bado mbingu ipo lakini hakuna jibu la Mbingu ni nini?
Katika kila Hatua moja mbele kuna hatua moja zaidi ya kuifikia mbingu .
Je? Mbingu inayosemwa kwenye biblia ndio hiyo mbingu tunayoina kutoka Angani.?
Hakika mbingu ni makao yetu ya milele lakini mbingu hiyo tuliyoandaliwa ni mbingu ya Namna gani?
Nb; Hakuna haijuae kesho Fanya mema leo ili uweze kuitengeneza njia iliyo bora ya kwenda mbinguni.
Eti Mungu anakasirika kwa kitu alichokiumba, maajabu haya, hivo vitabu vinaitwa vitakatifu nina shaka navyo sana.Upo sahihi kuamini mungu hayupo.Na ni haki yako.Mimi nina amini yupo.Tukubaliane kutokubaliana katika hilo.
Mungu alikuwa na maana yake kuweka kifo.Mimi na wewe hatuwezi kujua alikuwa ana maana gani na mimi na wewe wote tutakufa na kuoza na tutamuacha Mungu.Na haya malumbano kati yangu mimi na wewe juu ya uwepo wa Mungu ni dalili kuwa siku zetu za uwepo hapa duniani zimeshapungua sana.
Kibiblia tunaambiwa Adam na Hawa hawakutakiwa kufa.Walikuwa wanakula mimea na hakuna mnyama yoyote aliyekufa.Mungu akawapa utashi Adam na Hawa na akawakanya wasile tunda lililokatazwa.Adam na Hawa wakamkaidi Mungu wakala tunda.Mungu akakasirika akawapa kifo.Hivyo kifo kibiblia ni sehemu ya uumbaji na imetokana na dhambi ya wazazi wetu wa mwanzo.
Sayansi pia inakubali kuwa kifo ni sehemu ya uumbaji.Sayansi inasema kifo kimeweza kubadilisha viumbe mbalimbali viweze kuendana na ugumu wa mazingira yao yaani evolution through natural selection and survival of fittest.Kwa mtizamo wa kibinadamu kifo kinaweza kuwa ni kibaya ila kisayansi kifo kimeweza kumbadilisha binadamu kutokuwa kuwa kama nyani akitumia zana za mawe mpaka leo ameweza kurusha chombo kwenda sayari ya mars na kurudi.
Kwa kifupi biblia na sayansi vyote vinaonyesha kifo ni sehemu ya uumbaji wa Mungu na sababu za uwepo wa kifo katika uumbaji.
Ndio maandiko hayo.Na hilo ni neno la Mungu kwa mujibu wa historia.Eti Mungu anakasirika kwa kitu alichokiumba, maajabu haya, hivo vitabu vinaitwa vitakatifu nina shaka navyo sana.