Kila ninavyoitafakari Mbingu

Mambo yaliyo sirini ni ya BWANA MUNGU wetu na yaliyo funuliwa ni yetu sisi na watoto wetu,tafakari demi wako hayo yaache
 
Tatizoukishaanza kuhusisha imani, utaamini chochote kile.

Tuongelee ujuzi zaidi.
 
Mambo yaliyo sirini ni ya BWANA MUNGU wetu na yaliyo funuliwa ni yetu sisi na watoto wetu,tafakari demi wako hayo yaache
Kama binadamu wote wangekuwa na fikra kama zako basi dunia ya Leo kusingekuwa na Maendeleo ,
Kusingekuwa na Umeme ,simu,magari wala kitu chochote made from Human kwa sababu fikra zao zingewatuma ni kwa uweza wa mungu tu ndiyo angeweza kutengeneza.
 
sasa ujuzi uko limited...
ndio maana hata wajuzi huanza na makisio au assumptions.
Na huyapeleka makisio hayo kwenye kunolewa zaidi ili yaende kwenye ukweli.

Tatizo langu si assumption. Tatizo ni, hizo assumptions zinarejewa na kuangaliwa kama zina makosa?

Mtu anakwambia habari ambayo ina inherrent contradiction kabisa, halafu unaiamini kama ukweli.

1. Mungu ana uwezo wote, ujuzi wote, upendo wote.
2. Hivyo, alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hauna mabaya yoyote, mabaya yoyote hayawezekani
3. Kwa sababu uwezo wa kuumba hivyo alikuwa nao, ujuzi wa kuumba hivyo alikuwa nao na upendo wa kuumba hivyoalikuwa nao, kwa nini hakuumba hivyo?

Kwa nini Mungu hakuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Bila ya kujibu swali hili kwa sababu za kueleweka, habari nyingine zote za huyu Mungu ni suspect, zinaweza kusemwa kwamba ni za kutungwa na watu, na huyu Mungu hayupo.

Maana dhana ya kuwepokwake ina a big logical flaw.
 
Umejibu vyema mkuu
 
kwenye sayansi pia kuna vitu vingi ambavyo vinaitwa kwa jina la assumption lakini ni Imani hiyohiyo unayoipinga.
1:Miongoni mwa uwezo wake wote ni wa hayo unayoyaona yanakinzana. tatizo hayo ni matokeo ya finite mind yako.
2:Katika assumption zetu za kiimani ambazo zinakubalika na baadhi ya wanasayansi baada ya kusikia sauti zisizoeleweka lkn zinampangilio huko angani, kuna uwezekano haya unayoyaona duniani kuna sayari nyingine katika matrillioni ya sayari kuna viumbe perfect ambao wanacompy na logics zako. Mungu sio muoga hata aogope kuumba kiumbe chenye uwezo wa kuchagua cha kufanya. aliumba hivyo huku akiwa na plan B ya kumkomboa kupitia yesu kama akichagua lkn.
amedhihilisha hilo kwa kutokutuumba kama maroboti
hii imethibitishia viumbe vingine mbinguni na kwenye masayari mengine kuwa maamuzi aliyofanya ni sahihi na ni beyond your simple and illogical logics.
 
assumptions nyingi ni za uongo kuliko hata ukweli tunaoupekea kwa njia ya imani.
 
Wapi nimepinga assumption? Hivi unaelewa nilichoandika?
 
du ni kweli maswali fikirishi ila pia ndo hapo nakumbuka upumbavu wa Mungu uko mbali sana kuliko hekima ya mwanadamu
 
Halafu hivi huyu Yesu ni nani alimuona akipaa, au nani ana uthibitisho ya kuwa alitumwa kutuokoa, maana kama ndivo basi haina haja ya kwenda kuabudu maana tunasubiri tuu ukombozi wa Bwana Yesu.
 
Halafu hivi huyu Yesu ni nani alimuona akipaa, au nani ana uthibitisho ya kuwa alitumwa kutuokoa, maana kama ndivo basi haina haja ya kwenda kuabudu maana tunasubiri tuu ukombozi wa Bwana Yesu.
Ni bora ukaamini ili siku ya mwisho ata ikitokea yesu hayupo utakuwa haina cha kupoteza kuliko kutokuamini na mwisho ukakutana nae.
 
Ni bora ukaamini ili siku ya mwisho ata ikitokea yesu hayupo utakuwa haina cha kupoteza kuliko kutokuamini na mwisho ukakutana nae.
Hata nikikutana naye nina maswali mengi sana ya kumuuliza
 
Nikikwambia imani ya kuwepo Mungu ni mfano mmoja wa imani ya uongo ambayo haithibitishiki utakubali?
imani ni bayana ya mambo yasiyoonekana. uhalisia wa visivyoonekana...
unafeli unapptaka kuthibitisha imani kwa logic.
haithibitishiki kwa vithibitishio vyako, ila kwa vithibitishio vya imani husika hakuna chembe ya uongo ndani yake.
zile assumption na imani za kisayansi nyingi pia hasithibiki kwa vithibitishio vya kisayansi. mfano grobal warming kusababishwa na hewa ukaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…