kiukwel jamani mm sielew kabixsa mpz wang kila nikimwbmbia tu do analeta visingzio visvyo na sababu akinihaid cku....mara utasikia naumwa tumbo mara utasikia leo rafik yang kaniganda ndo nimekuja nae xo nakuwa smuelew kabixsa nimevumilia nimechoka sijui nifanye je?