Kila nikimbusu mpenzi wangu anatema mate chini

Mjomba situmii kilevi chochote bangi sigara no na kils 6 mounth laxima nikasafishe meno kitaalamu hata upige mswak vp kuna uchafu hubak kwenye kinywa na aps nipo nshangaika nitafute pafyumu za mdomo
Hebu tofautisha Kati ya kiss na kunyonyana almaarufu denda mi sijakuelewa kipi hapendi Kati ya denda na busu.
 
Habari wadau

Nipo katika mahusiano na binti fulani hivi ajabu tukikiss anaweka mate mdomoni kisha anatema chini nimeongea naye sana lakini hataki kuiacha kiasi inafika wakati najisikia vibaya mno. Nimegombana naye lakini hataki hata tuwe chumbani tukikiss anaweka mate mdomoni kisha anakwenda kutema bafuni anasema nisimlazimishe kuyameza mate hata tukisex mate anaweka mdomoni after sex anakwenda kutema bafuni

Kwa uchunguzi niliofanya nimebaini hata tukiwa njian tukakiss mate anaweja mdomoni kisha ataongeza spidi ya mwendo su kubadilu uelekeo nia yake tu ateme ayo mate ila nisimuone

Nifanyeje?
Huenda una kitu kibaya kama harufu mbaya ambacho hataki kukwambia kwa kuhofia kukuumiza. Kwani lazima mpeana mimate?
 
Habari wadau

Nipo katika mahusiano na binti fulani hivi ajabu tukikiss anaweka mate mdomoni kisha anatema chini nimeongea naye sana lakini hataki kuiacha kiasi inafika wakati najisikia vibaya mno. Nimegombana naye lakini hataki hata tuwe chumbani tukikiss anaweka mate mdomoni kisha anakwenda kutema bafuni anasema nisimlazimishe kuyameza mate hata tukisex mate anaweka mdomoni after sex anakwenda kutema bafuni

Kwa uchunguzi niliofanya nimebaini hata tukiwa njian tukakiss mate anaweja mdomoni kisha ataongeza spidi ya mwendo su kubadilu uelekeo nia yake tu ateme ayo mate ila nisimuone

Nifanyeje?
Huyo sio mpenzi wako
 
Nimegombana naye lakini hataki hata tuwe chumbani tukikiss anaweka mate mdomoni kisha anakwenda kutema bafuni anasema nisimlazimishe kuyameza mate

Nifanyeje?
Badala ya kumuuliza kwa nini anafanya hivyo unagombana nae na kumlazimisha vinginevyo.

Mwisho wa siku itakubidi uchague kati ya kiss au huyo mpenzi wako.
 
Naomba nieleweke simaanishi kuwa wanuka kinywa, bali yawezekana mwanadada huyo ana ile hali ya kuhisi kinyaa kwa kuwa wapo watu wa hivyo. Nikupe pole tu hapa maana najua hata BJ itakuwa unatoka kapa.

Japo ikitokea tatizo likawa ni kunuka kinywa jitahidi usafishe kinywa chako vizuri. Jitahidi kila unapokula uswaki vizuri na hakikisha unasugugua vizuri ulimi wako kila sehemu mpaka na juu ya cavity(juu ya kinywa). Kwenye ulimi zingatia sana.

Vya kuzingatia;
Asubuhi: Mswaki ni lazima upige asubuhi ukiamka, baada ya chai waweza pitisha mswaki bila hata ya kuweka dawa ya meno(exception ukila vyakula shombo kama samaki tumia dawa) kuondoa mabaki ya chakula.

Mchana: Mara nyingi watu huwa busy kwenye shughuli za utafutaji kwa hiyo jitahidi uwe na hata bablishi (hasa PK au hata ambazo hazina sukari ndio nzuri zaidi) tumia umalizapo kula, inasaidia kuondoa mabaki ya chakula yaliyonasia mdomoni hasa katika meno.

Usiku: Hakikisha kabla hujalala unaswaki iwe umekula kitu au hujala lazima uswaki.

NB: Hali ikiendelea kuwa mbaya nenda kwa daktari wa meno
 
Mkuu kashindwa kufunguka tu weka kinywa safi hata kama unapiga mswak fanya na mekanizim zingine coz wengine huo ni ugonjwa afu muumwaji hausikii kama anaumwa. Rakha ya sex na romantic ni denda
 
Sio kila mtu anapenda kukiss, muelewe labda yeye hapendi ila kwakua tu wewe unapenda basi anafanya kukuridhisha.

Na huenda hiyo kitu inampa tabu sana, siku akimpata anaeweza kuvumilia kutokiss kama alivo yeye basi utaliwa kichwa mapema sana.
Unashindwaje kumpa uhuru wake mkuu, kwani ni lazma mkiss hakuna kingine cha kufanya zaidi ya hicho???
 
Sio kila mtu is into kissing.

Af kuna watu tu wana kinyaa.

Af kuna watu tu they are not kissable, lol.
 
1.Unaweza kuwa na harufu ya kinywa isiyokuwa nzuri.

2. Ana kinyaa na mimate....binadamu hasa wanawake tunatofautiana sana, mwingine bila kusafisha kinywa mwili na hiyo mikono yako hakuna kitakachofanyika. Mapenzi yanahitaji usafi sio kurukiana tu.

Kuna watu wanatabia ya kutema mate kila wakati yaani asipotema anaona kama kuna kaupungufu fulani.

Jaribu kumuuliza kama kinywa chako kinamkera, awe muwazi ili upate tiba....Kama sivyo basi achaneni na mate, kuna mengi ya kufanya zaidi ya mate.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom