Kila nikiliangalia bwawa la Mwl. Nyerere natamani kuwachapa makofi wafuatao

Wewe unaongelea hakuna mvua hayo maji unakunywa jasho ? Yaani mpaka maji yaishe kabisa tutakuwa hatuwazi kuhusu umeme bali kifo..., Bwawa Halinywa maji bali maji yanapita katika njia zake na kuendelea ni kutumia tu ile energy ya maporomoko = F = Mass x Acceleration Kwa upande wa maji na Force its all about Height x density x gravitational Force
Uko sahihi
 
Issue ya Bwawa ni moja....; Issue mbaya zaidi ni hawa walamba asali Bwawa linaisha Bei haishuki... Kwahio kwa mwananchi hili Bwawa linakuwa halina faida yoyote (Ni vipi tulipie Bei ileile kama wakati tunatumia Mitambo ya Madalali / Walamba Asali) ?

Kwahio mpaka sasa hili Bwawa linawafaidisha walamba asali na sio mwananchi wa kawaida
Walishavuta advance kitambo sn
 
Basi sawa
Exactly ni kama wewe kwako una kiberiti cha gesi alafu mtu anakwambia kwanini usitumie vijiti kupikicha au viberiti vya miti.... (huenda hao wanaotumia hivyo hawana kiberiti cha gesi)

Sisi Tanzania tumebahatika tuna vyanzo vyote na hili Bwawa lingetumika kwa akili huenda ndio lingekuwa the centre of energy mix ya kutufanya tuweze kuuza umeme Afrika nzima na hata kufidia cost ya kumfanya mwananchi apewe unit moja kwa bei ya sawa na bure...
 
Etwege, Bwawa la Mtera lilijengwa kwa ajili ya kustore maji kwa ajili regulate flow to Kidatu etc wakati wa kiangazi. Sii kwa ajili ya kuzalisha umeme as such. Waliweka just small generators pale kwa ajili ya matumimizi yao na majirani wa pale. Tatizo lilipoanza kujitokeza kwenye ile catchment areas from Mbeya, Iringa na maji kupungua ikawalazimu hata kile kidogo kisambazwe kwenye grid. Mbwawa lile limejaa matope. For more information waulize watu wa TANESCO watakueleza. Shida kubwa bwana Utwege, ni hii mabwawa yanategemea sana Catchement area ni nini kinawendelea kule kama ni hiki kilimo chetu, over grazing mnavofanya, kukati miti n.k. Mabwawa hayawezi kuwa sustainable kabisa huo ndio ekweli mchungu. Nchi yetu inageuka jangwa kwa kuchekelea ufugaji usio wa viwango na kilimo holela na ukataji wa miti. Sijui waliokimbia Shinyanga na kukimbilia katavi, Rukwa, Ifakara, Malinyi, Mbuga za Selous, Lindi nk. nako wakimaliza kukata miti yote watakimbilia wapi?
Kwa akili yako ya ngwandumbe unaamini ngombe anaweza kunywa hayo maji akayamaliza? Eti kilimo, hiki cha jembe la mkono au kipi?
 
Exactly ni kama wewe kwako una kiberiti cha gesi alafu mtu anakwambia kwanini usitumie vijiti kupikicha au viberiti vya miti.... (huenda hao wanaotumia hivyo hawana kiberiti cha gesi)

Sisi Tanzania tumebahatika tuna vyanzo vyote na hili Bwawa lingetumika kwa akili huenda ndio lingekuwa the centre of energy mix ya kutufanya tuweze kuuza umeme Afrika nzima na hata kufidia cost ya kumfanya mwananchi apewe unit moja kwa bei ya sawa na bure...
CCM hapo wamevuta pesa ya uchaguzi watatoa rushwa haswa
 
Wakati Rais wa awamu ya tano hayati Magufuli akitangaza kwamba Tanzania inaenda kutekeleza mradi wa kufua umeme wa bwawa la Mwl Nyerere kwa gharama yoyote bila kuangalia makunyanzi ya mtu yoyote, kuna watanzania wenzetu walipinga mradi huo na kutusaliti kwa wazungu ili mradi huo ukwame.

Mungu saidia Magufuli hakulegeza kamba wala kukata tamaa na mradi huo ukaendelea na sasa umekamilika na mashine moja imefungwa hivyo kupelekea kupungua kwa kiasi kikubwa kwa mgao wa umeme uliokuwa unatesa wananchi na kuuwa uchumi wa nchi yetu.

Sasa ili kukomesha tabia ya watanzania wenzetu kusaliti na pia ili kuongeza uzalendo kwa nchi yetu wanasiasa waliohamasisha wananchi kupinga mradi huo wasiruhusiwe kutumia umeme kutoka bwawa la Mwl nyerere.

Wanasiasa hao ni Tundu Lisu, Nape Nnauye, January Makamba, God bless Lema, John Heche, Freeman Mbowe, Sugu, Peter Msigwa, Martin Maranja Masese, Prof Muhongo, Zito Kabwe. Na wengine wengi ambao tutaendelea kuwataja.
Mbona hujamtaja royal tua?
 
kuwapa adabu hawa tungewakatia luku manyumbani kwao maana wanatumia umemekutoka BWAWA LA NYERERE wakati walikataa mradi huu
 
Back
Top Bottom