Kila nikiliangalia bwawa la Mwl. Nyerere natamani kuwachapa makofi wafuatao

Tujifunze taratibu hilo bwawa ni mapema kuiongelea value for money na productivity yake!!
SWALI; Yamewekezwa ma trilioni ya fedha Jee, yamesharudi??
Ujinga ni mzigo mzito saaana kuubeba japo nirahisi kuupata...akili na ujinga ni kama pesa na Mafi kimfuatano(respectively)
Mjinga mmoja in Wazir’s voice
 
Wewe utakuwa ni kichaa, gharama zilizotumika kwenye huo mradi ni zaidi ya 10T ambapo kwenye gas na makaa ya mawe tungeweza kutumia si zaidi ya 2T hizi 8T zingejenga lami zaidi ya 8000Km hata kijijini kwa babu yako wangepata barabara ya lami.
Bwawa la kuzalisha umeme kwa kutumia maji gharama za uendeshaji wake ziko chini sana kuliko aina nyingine yoyote. Tuseme tu JNHPP ni 'Game Changer'
 
lisu alikuja na kihoja cha karne eti miti itateketea juu ya huu mradi

nakwambia chadema ni hovyo haijawahi kutokea
 
Kwa bahati mbaya, madhara na faida za Hydro-electic generation against other sources wengi hawayajui na ukweli ni matumizi za mabwawa ya kujenga kujenerate umeme yana madhara mengi kimazingira na huwezi kutemea mabwawa kwa muda mrefu. Okay hili linakaribia kuisha ila baada ya kipindi kifupi sana tutaingie tena kwenye kutafuta mbadala wa hili bwawa ili kupata umeme wa kutosha. Kama nchi inapaswa sasa kuanza kuatafuta vyanzo mbadala sasa na sii kesho.
Jitahidi kufikiri kabla ya kuandika. Marekani kuna bwawa la kuzalisha umeme ' Grand Coulee' lilianza uzalishaji mwaka 1942 hadi leo linafanya kazi, miaka 81 bado linazalishaji umeme.
 
Kumbe ndio biashara
Kuna biashara kubwa sana katika nishati ya umeme. JNHPP limeharibu biashara ya watu wengi sana kuanzia wana siasa na makampuni ya nje yanayomiliki vitalu vya gesi kusini mwa Tanzania ambao walitegemea kuendelea kutuuzia gesi kwa ajili ya kuzalisha umeme.
 
Jitahidi kufikiri kabla ya kuandika. Marekani kuna bwawa la kuzalisha umeme ' Grand Coulee' lilianza uzalishaji mwaka 1942 hadi leo linafanya kazi, miaka 81 bado linazalishaji umeme.
It would be best if you studied more about dams and their effects on the environment. Maintenance of dams in poor Countries like ours could be very challenging i.e., dredging and removing silts from the bottom of the dams to restore their original capacity is a bit trick and very costly. If you don't, the dam's capacity will dwindle and reduce the output.
 
Bwawa la kuzalisha umeme kwa kutumia maji gharama za uendeshaji wake ziko chini sana kuliko aina nyingine yoyote. Tuseme tu JNHPP ni 'Game Changer'
Israel ni jangwa umewahi kusikia umeme kwao umekatika kama huku? wanatumia nini? mvua zenyewe ziko wapi? tuache ushamba
 
Issue ya Bwawa ni moja....; Issue mbaya zaidi ni hawa walamba asali Bwawa linaisha Bei haishuki... Kwahio kwa mwananchi hili Bwawa linakuwa halina faida yoyote (Ni vipi tulipie Bei ileile kama wakati tunatumia Mitambo ya Madalali / Walamba Asali) ?

Kwahio mpaka sasa hili Bwawa linawafaidisha walamba asali na sio mwananchi wa kawaida
 
Israel ni jangwa umewahi kusikia umeme kwao umekatika kama huku? wanatumia nini? mvua zenyewe ziko wapi? tuache ushamba
Wewe unaongelea hakuna mvua hayo maji unakunywa jasho ? Yaani mpaka maji yaishe kabisa tutakuwa hatuwazi kuhusu umeme bali kifo..., Bwawa Halinywa maji bali maji yanapita katika njia zake na kuendelea ni kutumia tu ile energy ya maporomoko = F = Mass x Acceleration Kwa upande wa maji na Force its all about Height x density x gravitational Force
 
UWT akili zenu mnazijua wenyewe, kwanini usitumie gas na makaa ya mawe + upepo wa Singida?
 
UWT akili zenu mnazijua wenyewe, kwanini usitumie gas na makaa ya mawe + upepo wa Singida?
Mkuu hili jambo ningeomba utumie muda kujielemisha kidogo.....

Upepo; Jua alafu ukishaupata au kipindi hakuna upepo unafanya nini (utahitaji storage na storage mpaka dakika hii ndio bottleneck) kungekuwa na storage ya kutosha na cheap basi jangwa lingeweza kutoa Umeme wa kutumika dunia nzima..... (Kwahio hio energies zinahitaji kuwa Stored ili kutumika wakati hakuna Upepo) Makaa ya Mawe nayo sio Renewable - HEP ni the most clean and efficient ila tatizo sio kila mahali kuna infrastructure za kuwezesha hilo bahati ni kwamba sisi tuna infrastructure....

Wakati Rais wa awamu ya tano hayati Magufuli akitangaza kwamba Tanzania inaenda kutekeleza mradi wa kufua umeme wa bwawa la Mwl Nyerere kwa gharama yoyote bila kuangalia makunyanzi ya mtu yoyote, kuna watanzania wenzetu walipinga mradi huo na kutusaliti kwa wazungu ili mradi huo ukwame.

Mungu saidia Magufuli hakulegeza kamba wala kukata tamaa na mradi huo ukaendelea na sasa umekamilika na mashine moja imefungwa hivyo kupelekea kupungua kwa kiasi kikubwa kwa mgao wa umeme uliokuwa unatesa wananchi na kuuwa uchumi wa nchi yetu.

Sasa ili kukomesha tabia ya watanzania wenzetu kusaliti na pia ili kuongeza uzalendo kwa nchi yetu wanasiasa waliohamasisha wananchi kupinga mradi huo wasiruhusiwe kutumia umeme kutoka bwawa la Mwl nyerere.

Wanasiasa hao ni Tundu Lisu, Nape Nnauye, January Makamba, God bless Lema, John Heche, Freeman Mbowe, Sugu, Peter Msigwa, Martin Maranja Masese, Prof Muhongo, Zito Kabwe. Na wengine wengi ambao tutaendelea kuwataja.

Naunga mkono hoja
 
Etwege, Bwawa la Mtera lilijengwa kwa ajili ya kustore maji kwa ajili regulate flow to Kidatu etc wakati wa kiangazi. Sii kwa ajili ya kuzalisha umeme as such. Waliweka just small generators pale kwa ajili ya matumimizi yao na majirani wa pale. Tatizo lilipoanza kujitokeza kwenye ile catchment areas from Mbeya, Iringa na maji kupungua ikawalazimu hata kile kidogo kisambazwe kwenye grid. Mbwawa lile limejaa matope. For more information waulize watu wa TANESCO watakueleza. Shida kubwa bwana Utwege, ni hii mabwawa yanategemea sana Catchement area ni nini kinawendelea kule kama ni hiki kilimo chetu, over grazing mnavofanya, kukati miti n.k. Mabwawa hayawezi kuwa sustainable kabisa huo ndio ekweli mchungu. Nchi yetu inageuka jangwa kwa kuchekelea ufugaji usio wa viwango na kilimo holela na ukataji wa miti. Sijui waliokimbia Shinyanga na kukimbilia katavi, Rukwa, Ifakara, Malinyi, Mbuga za Selous, Lindi nk. nako wakimaliza kukata miti yote watakimbilia wapi?
The truth in less than one page, this comment deserves to be bolded 💯
 
Kuna biashara kubwa sana katika nishati ya umeme. JNHPP limeharibu biashara ya watu wengi sana kuanzia wana siasa na makampuni ya nje yanayomiliki vitalu vya gesi kusini mwa Tanzania ambao walitegemea kuendelea kutuuzia gesi kwa ajili ya kuzalisha umeme.
Mkuu gas ilishakwisha
 
Mkuu hili jambo ningeomba utumie muda kujielemisha kidogo.....

Upepo; Jua alafu ukishaupata au kipindi hakuna upepo unafanya nini (utahitaji storage na storage mpaka dakika hii ndio bottleneck) kungekuwa na storage ya kutosha na cheap basi jangwa lingeweza kutoa Umeme wa kutumika dunia nzima..... (Kwahio hio energies zinahitaji kuwa Stored ili kutumika wakati hakuna Upepo) Makaa ya Mawe nayo sio Renewable - HEP ni the most clean and efficient ila tatizo sio kila mahali kuna infrastructure za kuwezesha hilo bahati ni kwamba sisi tuna infrastructure....

Basi sawa
 
Back
Top Bottom