Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 458
Wadau,
Mwenzenu ni mla bata kiaina lakini eneo hili nakaribia kunyoosha mikono juu. Kila Club nayoenda, iwe ni ya uswahilini au Maisha Basement au Billz, naona ni kama watu mule wanafahamiana siku nyingi so ni full kupeana mahug na mimi najikuta nimehang hang tu bila kuwa na wa kuchat nae, licha ya kuwa willing kumgharamia bill yake usiku huo (kama akijitokeza).
Nikijaribu kumingle, either nasonywa au anaondoka mbele yangu, I feel soooo embarrased. Najua kuna walio kwenye biashara mule lakini ni wachahce na kumspoti ni ngumu kweli coz kila mtu sista duu, tablet kubwa as if she doesn't give a fuc*
Nifanyeje jamani angalau niwe naopoa opoa?
Nawasilisha