Kila nikienda Club naona ni kama kila demu tayari ana mwenyeji (dume)

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Aug 4, 2014
1,637
458
Wadau,

Mwenzenu ni mla bata kiaina lakini eneo hili nakaribia kunyoosha mikono juu. Kila Club nayoenda, iwe ni ya uswahilini au Maisha Basement au Billz, naona ni kama watu mule wanafahamiana siku nyingi so ni full kupeana mahug na mimi najikuta nimehang hang tu bila kuwa na wa kuchat nae, licha ya kuwa willing kumgharamia bill yake usiku huo (kama akijitokeza).

Nikijaribu kumingle, either nasonywa au anaondoka mbele yangu, I feel soooo embarrased. Najua kuna walio kwenye biashara mule lakini ni wachahce na kumspoti ni ngumu kweli coz kila mtu sista duu, tablet kubwa as if she doesn't give a fuc*

Nifanyeje jamani angalau niwe naopoa opoa?

Nawasilisha
 
First thing dress to impress sio lazima ulipuke sana just simple but smart tulia sehemu moja na kinywaji chako usiwe mtu wa kupepesa macho hovyo another thing usipende kwenda pekee yako bana at least uwe na rafiki hata mmoja,kuhusu malaya wa kupiga naye story muulize waiter yoyote au baunsa lakini itabidi umtoe chochote utashangaa kampani ya mademu utayoipata hata mimi zamani yalinikuta hayo ila sasa huwa nawakimbia kila club au bar ninayoenda mkuu
 
Kama unaenda club kusikiliza music achana na mambo ya mademu.

Kama unaenda kucheza sio lazima ubambie mwanamke.

Unaweza kucheza mwenyewe. Na usiwe kichwa juu muda wote.

Don't be desperate kupata mtu wa kukupa kampani.
 
Raha ya Club kampani... 3-5 na kama ni special event mnachukua Hiace kabisa!! Sasa unaenda club peke yako utafikiri unaenda kuungama!!
 
  • Thanks
Reactions: me1
Kama unaenda club kusikiliza music achana na mambo ya mademu.

Kama unaenda kucheza sio lazima ubambie mwanamke.

Unaweza kucheza mwenyewe. Na usiwe kichwa juu muda wote.

Don't be desperate kupata mtu wa kukupa kampani.
pamoja sana
 
Wadau,
Mwenzenu ni mla bata kiaina lakini eneo hili nakaribia kunyoosha mikono juu. Kila Club nayoenda, iwe ni ya uswahilini au Maisha Basement au Billz, naona ni kama watu mule wanafahamiana siku nyingi...so ni full kupeana mahug na mimi najikuta nimehang hang tu bila kuwa na wa kuchat nae, licha ya kuwa willing kumgharamia bill yake usiku huo (kama akijitokeza).

Nikijaribu kumingle, either nasonywa au anaondoka mbele yangu, I feel soooo embarrased. Najua kuna walio kwenye biashara mule lakini ni wachahce na kumspoti ni ngumu kweli coz kila mtu sista duu, tablet kubwa...as if she doesn't give a fuc*

Nifanyeje jamani angalau niwe naopoa opoa?
Nawasilisha
Just be calm, angalia wa kukufaa siku hiyo, cheki na wahudumu ili kumfahamu zaidi. Peleka ofa kisha ita. Wapo kibao wapenda starehe na hela hawana,na pia wako kibao ambao hawana fedha na ajira yao ni kuuza chiu. Be strategic chief.
 
Uyu mleta mada ndio wale wa kipindi kile wakati watu wanaenda club yeye anasongoka, msuli bundi, wakirudi wenzake wanamuhadithia wamebambia au wamebeba mizigo. Sasa haikua raisi hivo we nenda na mpunga wa kutosha nenda katege kaunta, sambaza mpunga mezani watakuja wenyewe tu.
 
Mademu wa Club wamegawanyika.

Kuna wale ambaio wao Club wanaenda kujirusha ila ukiziingizia unang'oa bila wasi.

Kuna wale ambao wanaenda kibiashara, na mara nyingi utawakuta kaunta. Hawa wa kibiashara mnakubaliana umpe shilingi ngapi ili ukamgonge, na hata kama unataka kwenda kulala nae mpaka majogoo, ni makubaliano yenu tu.

Hawa wa kibiashara kaunta wala hupati tabu kuwafahamu, utawaona mapozi yao. Akikuona mchizi umetulia kwa mbali basi ataanza kujigeuza geuza na kuachia sehemu zake za siri wazi ili akukoleze. Na mara nyingi hawavai chupi, naniliu yote unaiona bila chenga.

Na mara nyingi wanapotoka majumbani mwao, wanakwenda na nguo za heshima wakishafika Club wanabadilisha wanavaa vimini, au nguo zozote za kutamanishana ili kukuwasha wewe mteja.
Ila ukitaka kwenda kulala nao, mara nyingi wengi wao wanataka muondoke mida mibovu. Hapo wanasikilizia pengine kuna mteja ambae anaweza akalipa dau kubwa.

Na kuna wale ambao Club kwao ni kama sehemu ya maisha yao, kama unavyoona mademu wa baa vile, kila utakapoenda utawakuta. Hawa wao wanataka kutongozwa, ukitongoza hachomoi. Sasa hawa ndio mtapokezana kama mpira wa kona.

Kuanzia DJ, na listi bado ndefu inaendelea.

Ngoja niishie hapa maana aina za mademu wa Club zinaendelea, nimeamua kukatisha hapa
 
Uyu mleta mada ndio wale wa kipindi kile wakati watu wanaenda club yeye anasongoka, msuli bundi, wakirudi wenzake wanamuhadithia wamebambia au wamebeba mizigo. Sasa haikua raisi hivo we nenda na mpunga wa kutosha nenda katege kaunta, sambaza mpunga mezani watakuja wenyewe tu.
hahahahaaaaaahuhuhuhuuuuuuuuuu mbavu zangu mieeeee... mule mulee bila chenga.. mkuu umempiga ya utosi huyoo
 
Simply umevamia fani mazee.
Kila kitu hapa duniani kinahitaji mwalimu.

Sema usiwe desperate hivyo kwasababu kwa maelezo yako unapenda sana mteremko.

Tafuta mwanamke ndiyo uende naye club, au unawaogopa huku nje???????
Wewe kidume bwana usiwaogope.
 
Back
Top Bottom