kila Mwanasimba ninayekutana naye anasema hata mambo ya Mpira tena

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,323
4,667
Eng Hersi ndio kwanza yupo zake South Afrika na leo ameshuhudia Soweto Derby Kaizer Chiefs Vs Orlando Pirates na Orlando Pirates wakiibuka na ushindi wa goli 1.

Hakika Eng Angefahamu msala mazonge aliyosababisha pale Simba ni makubwa mnoo ni kuwafanya jamaa kuona timu yao sio chochote kitu angeenda hata kuwapa pole

Simba bana walikua wanajiweka level ambazo sio zao Jumapili Yanga wamewaambia nyie bado mpo level za Zalan, Kmc, Jkt, Asas...nk Cv imepakwa tope ghafla bin vuup ila sio mbaya kesho tunawakaribisha pale Kaunda wapige kitu cha supu safi waje na Chapati zao tu.

Jamaa zangu wengi ni Simba lia lila ubaya unakuja kila nikijaribu kupiga mastory ya gemu ya Jumapili wengi wao wanasema hawataki mambo ya mpira tena kwani Simba imewavua nguo. Binafsi nawapa maneno ya kuwatia nguvu kwani nimegundua ni mashabiki wanaohitaji upendo kuliko kitu chochote kwa sasa.

Poleni sana wanasimba kufungwa sio mbaya ila ndio ziwe tano sasa

Roma ikisema imesema
 
Ndugu zetu wana wakati mgumu sana.Sina hakika kama wamejifunza kitu maana wakianza kuongea wanajisahau sana mara African football league mara sijui madudu gani.

Wateseke tu mpka basi tena ikibidi wakondeane kweli kweli kwa stress
Wanapata shida sana,mara utasikia ngoja Al Ahly muone.Nawauliza Ahly ni tawinla Simba? Mara ooh tuliwapiga Sita ara tuliwapiga tano .Ukiuliza ilikuwa lini wanakaa kimya.Waliokaribu na wapenzi wa Simba kuwa makini,anaweza akakudhuru au akajidhuru.Wana hali mbaya sana.
 
Mie nashangaa kwa akili zoote hizi hamjui tu ukweli mngejua mngekaa kimya hii mechi ni uzwazwa.

Kweli ni uzwazwa hizi timu wanalipana mashabiki wafurahi ni sawa na tanesco leo wanapata umeme mahali fulani kesho hawapati ndio hivyoo ni mipango yao sasa nyie jidanganyeni ila ukweli ndio huoo
 
Eng Hersi ndio kwanza yupo zake South Afrika na leo ameshuhudia Soweto Derby Kaizer Chiefs Vs Orlando Pirates na Orlando Pirates wakiibuka na ushindi wa goli 1.

Hakika Eng Angefahamu msala mazonge aliyosababisha pale Simba ni makubwa mnoo ni kuwafanya jamaa kuona timu yao sio chochote kitu angeenda hata kuwapa pole

Simba bana walikua wanajiweka level ambazo sio zao Jumapili Yanga wamewaambia nyie bado mpo level za Zalan, Kmc, Jkt, Asas...nk Cv imepakwa tope ghafla bin vuup ila sio mbaya kesho tunawakaribisha pale Kaunda wapige kitu cha supu safi waje na Chapati zao tu.

Jamaa zangu wengi ni Simba lia lila ubaya unakuja kila nikijaribu kupiga mastory ya gemu ya Jumapili wengi wao wanasema hawataki mambo ya mpira tena kwani Simba imewavua nguo. Binafsi nawapa maneno ya kuwatia nguvu kwani nimegundua ni mashabiki wanaohitaji upendo kuliko kitu chochote kwa sasa.

Poleni sana wanasimba kufungwa sio mbaya ila ndio ziwe tano sasa

Roma ikisema imesema
Kwani simba imepitwa point ngapi na yanga na ipo nafasi ya ngapi..? Mbona mnakuza mambo madogo saana simba kapitwaa point chache tu na anakiporo. Sasa huku tz kwenye vichaa ni ajabu sana hz habari mnazokuza ilihali hao walofunga wenzao 5 sio kwamba ni bora bali ni uzembe tu ulitokea. Fakeni kabsa mleta uzo wa kipuuzi saana
 
Nimejitahidi kusoma ulichoandika nimetoka kapa! Yaani bila bila!

Au umemaanisha Simba ni mazwazwa kupigwa khamsa 5G kama JKT na kmc?
 
Kwani simba imepitwa point ngapi na yanga na ipo nafasi ya ngapi..? Mbona mnakuza mambo madogo saana simba kapitwaa point chache tu na anakiporo. Sasa huku tz kwenye vichaa ni ajabu sana hz habari mnazokuza ilihali hao walofunga wenzao 5 sio kwamba ni bora bali ni uzembe tu ulitokea. Fakeni kabsa mleta uzo wa kipuuzi saana
je ataweza kuifunga AZAM fc
 
wewe bado upo na stress hebu kunywa maji mengi then upumzike na usisahau kunywa ant depresant pills
 
Mie nashangaa kwa akili zoote hizi hamjui tu ukweli mngejua mngekaa kimya hii mechi ni uzwazwa.

Kweli ni uzwazwa hizi timu wanalipana mashabiki wafurahi ni sawa na tanesco leo wanapata umeme mahali fulani kesho hawapati ndio hivyoo ni mipango yao sasa nyie jidanganyeni ila ukweli ndio huoo
Sio kweli kama ni hivyo wasingekubali kupoteza pesa nyingi ili kuvunja mkataba na kocha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mwingine ananitumia ka clip ka shekhe (nadhani shekhe nae ni mnyama lialia)akisema mpira kharam
mara hakuna swahiba alicheza mpira wakati hapa mtaani ma swahiba kibao wanacheza mpira
 
Mie nashangaa kwa akili zoote hizi hamjui tu ukweli mngejua mngekaa kimya hii mechi ni uzwazwa.

Kweli ni uzwazwa hizi timu wanalipana mashabiki wafurahi ni sawa na tanesco leo wanapata umeme mahali fulani kesho hawapati ndio hivyoo ni mipango yao sasa nyie jidanganyeni ila ukweli ndio huoo
Nafikiri hapa sister ulikuwa umekunuwa viroba vya Mbauda au umekula kitu cha mjani cha Sinoni Daraja mbili maana hata wewe asubuhi hii ukiamka na kusoma ulichoandika hutakielewa.
 
Mie nashangaa kwa akili zoote hizi hamjui tu ukweli mngejua mngekaa kimya hii mechi ni uzwazwa.

Kweli ni uzwazwa hizi timu wanalipana mashabiki wafurahi ni sawa na tanesco leo wanapata umeme mahali fulani kesho hawapati ndio hivyoo ni mipango yao sasa nyie jidanganyeni ila ukweli ndio huoo

Mvua sijui zitamalizika lini...📡📡📡
 
Jamaa zangu wengi ni Simba lia lila ubaya unakuja kila nikijaribu kupiga mastory ya gemu ya Jumapili wengi wao wanasema hawataki mambo ya mpira tena kwani Simba imewavua nguo. Binafsi nawapa maneno ya kuwatia nguvu kwani nimegundua ni mashabiki wanaohitaji upendo kuliko kitu chochote kwa sasa.

Simba sio kwamba ni mbovu kihivyo...

Jamaa wana shida ya uongozi tu, kuna kuhujumiana sana Simba na mfadhili kujiona kama timu ni yake...
 
Mie nashangaa kwa akili zoote hizi hamjui tu ukweli mngejua mngekaa kimya hii mechi ni uzwazwa.

Kweli ni uzwazwa hizi timu wanalipana mashabiki wafurahi ni sawa na tanesco leo wanapata umeme mahali fulani kesho hawapati ndio hivyoo ni mipango yao sasa nyie jidanganyeni ila ukweli ndio huoo
KWA HIYO HADI NAMUNGO WALIWALIPA,ILI MASHABIKI WAO WAFURAHI... NGOJA ASEC AKUPIGE TANO NDIO FUVI LITAKAA SAWA HILO
 
Eng Hersi ndio kwanza yupo zake South Afrika na leo ameshuhudia Soweto Derby Kaizer Chiefs Vs Orlando Pirates na Orlando Pirates wakiibuka na ushindi wa goli 1.

Hakika Eng Angefahamu msala mazonge aliyosababisha pale Simba ni makubwa mnoo ni kuwafanya jamaa kuona timu yao sio chochote kitu angeenda hata kuwapa pole

Simba bana walikua wanajiweka level ambazo sio zao Jumapili Yanga wamewaambia nyie bado mpo level za Zalan, Kmc, Jkt, Asas...nk Cv imepakwa tope ghafla bin vuup ila sio mbaya kesho tunawakaribisha pale Kaunda wapige kitu cha supu safi waje na Chapati zao tu.

Jamaa zangu wengi ni Simba lia lila ubaya unakuja kila nikijaribu kupiga mastory ya gemu ya Jumapili wengi wao wanasema hawataki mambo ya mpira tena kwani Simba imewavua nguo. Binafsi nawapa maneno ya kuwatia nguvu kwani nimegundua ni mashabiki wanaohitaji upendo kuliko kitu chochote kwa sasa.

Poleni sana wanasimba kufungwa sio mbaya ila ndio ziwe tano sasa

Roma ikisema imesema
Kuna Mwanasimba mbishi huku kitaa amesema yeye atashtuka siku Yanga ikiifunga Simba magoli 6 na kuendelea. Tano kawaida Sana
 
Back
Top Bottom