Kila Mtu na Bahati Yake Duniani


Hisia kali sana hapa.............wapi Magret............
 

Waswahili mnachonga sana....................jionee bahati.........
 
naona jua kali lakini ana mwavuli au ndo fashen... du kweli kajipanga kumkinga kimwana na mvua
mapenzi hayachagui suraaaa...source(samba mapangala)
 
steven wassira!!!!

Umekosa, ni Le Baharia, injinia mkuu wa meli mbovu, mtu anaependa mambo ya vijana (Ya watoto wa fb infact) lakini ni mzee maana ana cheo kwenye jumuia ya wazee Oooh sorry jumuia ya wazazi TZ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…