Kila Mtu na Bahati Yake Duniani

Huyu ni miongoni mwa matajiri waliokuwa wanamiliki migodi ya madini kule jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo, yaani hawa jamaa walikuwa na fedha ya kufa mtu na ndoa zao hufanyika ndani ya ndege ikiwa angani. Huyo kimwana alifuata mali za huyo jamaa ambazo ziko Ufaransa ikiwemo mijumba ya uhakika.
 
KUhisi ni nani Jamvini inakuwa ngumu kidogo; ila ungeuliza NI NANI KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI LA SERIKALI YA TANZANIA tungeambiwa TUJIBU WOTE KWA SAUTI (hakuna haja ya kunyanyua mkono uchaguliwe kujibu)

Eti unataka kusema ni arissaW, mi simo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…