Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 2,268
- 3,603
Shida huja bila taarifaShida kaaumbiwa mwanadam
Shida zipo tu
Ova
Kabisa na haina honi wala kukupa alertShida huja bila taarifa
Wale walio na mapesa mengi lakini hawana uwezo wa kuzaa watoto utawaweka kundi la shida?1.shida za kifedha
2.shida za maswala ya uzazi yote
Maskini anadhani akipata pesa shida zake zote zitakwisha.Shida kaaumbiwa mwanadam
Shida zipo tu
Ova
Shida S SadikiWatu hua wanafikiria nn unamuita mwanao SHIDA, MASUMBUKO, BAHATI kweli?
Mimi napenda kutumia usemi huu na huwa nawaambia watuMaskini anadhani akipata pesa shida zake zote zitakwisha.
Tajiri anadhani akipata mpenzi wa kweli anayemjali shida zake zitakwisha.
Mgonjwa anadhani akupona tu ndio mwisho wa shida zake.
Kina dada ambao umri umesogea wanadhani wakipata MTU mwenye pesa, handsome, asiyena michepuko, mpenda dini, asiyechukua ushauri wa mama yake, msomi, msafi, asiye na madada, ambaye Yuko tayari kuosha vyombo na kupika Mara moja moja shida zao zitakua zimekwisha.
Hilo kundi la mwisho mbona lina mzigo wa shida sasa duh? Kutoboa tu hapo shida ingineMaskini anadhani akipata pesa shida zake zote zitakwisha.
Tajiri anadhani akipata mpenzi wa kweli anayemjali shida zake zitakwisha.
Mgonjwa anadhani akupona tu ndio mwisho wa shida zake.
Kina dada ambao umri umesogea wanadhani wakipata MTU mwenye pesa, handsome, asiyena michepuko, mpenda dini, asiyechukua ushauri wa mama yake, msomi, msafi, asiye na madada, ambaye Yuko tayari kuosha vyombo na kupika Mara moja moja shida zao zitakua zimekwisha.
Vyombo vingi vya kisasa kwa usafiri haviepushi shida, ndege huanguka meli huzama, magari hupinduka na kuwaka moto.Mfano,zamani watu walihangaika kusafiri,walitumia Punda,leo hii kuna kila aina ya usafiri,
Nilimaanisha shida ya usafiri,watu walikua wanasafiri baharini kwa miezi kibao.Vyombo vingi vya kisasa kwa usafiri haviepushi shida, ndege huanguka meli huzama, magari hupinduka na kuwaka moto.
Sijawahi sikia wale punda waliotumika kusafirisha watu na mizigo walipinduka.
ndio maana nimesema zipo mbili hizo shida nazo ziona mimi ni kama kuu sana uyo kashinda shida ya financially lakini maswala ya uzazi holla...tunabaki pale pale shida kila mtu yuko nayo kori koriWale walio na mapesa mengi lakini hawana uwezo wa kuzaa watoto utawaweka kundi la shida?
Nimekuelewa mkuundio maana nimesema zipo mbili hizo shida nazo ziona mimi ni kama kuu sana uyo kashinda shida ya financially lakini maswala ya uzazi holla...tunabaki pale pale shida kila yuko nayo kori kori