Kuna muda huwa nakaa nakufikiria kama kila mtu angekua mimi ingekuaje?
1. Nimejijengea heshima mtaa ninao kaa kwa kutokua na historia chafu ya kutokua na uhusiano na mabinti wa watu.
2. Nimekua muaminifu katika mahusiano ambayo nimekua niko kwa vipindi tofauti, sijawahi ku cheat.
3. Nimekua nikienda kucheki afya mara kwa mara
4. Sijawahi kumuumiza msichana yoyote tho nimewahi kuumizwa.
5. Nimekua mtu wa kusamehe na sio mtu wa kisasi nilipo salitiwa na mpenzi wangu hadi ilipokua to much nikaachana nae for good.
6. Nina uhusiano mzuri wa kuheshimiana na my ex girlfriends, tukishauriana na kusaidiana.
7. Hili ndo kubwa zaidi ambalo I am proud of it nilishawahi kulileta hapa jukwaani kuhusu uhusiano wangu na binti flani ambae alikua na matarajio ya mimi kuwa mme wake na mwanamme wake wakwanza, me kwangu ilikua tofauti ilibidi nitafute njia rahisi na kumuacha bila kumuumiza na kumuharia usichana wake.
Kwa kweli I am proud of my self
#tuwe mifano bora katika jamii yetu