Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,641
- 47,664
Niaje wanaMMU
Kuna kakisa kadogo kametokea mtaani kwetu huwa nikikumbuka nacheka peke yangu
Kuna siku mida ya jioni tulikuwa tumekaa maskani na washikaji tofauti tofauti kama 6 hivi.
Sasa wakati tunapiga story washikaji wakawa wanamlaumu mwenzetu mmoja kuwa anampenda sana demu wake kiasi kwamba hampi muda wa kuwa peke ake ( it means anambana),jamaa akacheka sana huku akishangaa na kusema kuwa yule dem yy hana mpango nae yaani ni kama anazugia tu wala hajampenda,pia akadai mapenzi yake kwa demu ni kama 20%,jamaa akamponda sana demu wake.
Ila kati yetu tuliokuwa pale skani kuna jamaa mmoja yeye mda wote alikuwa busy anachat tu.
Baada ya story kuisha tukasambaratika ila yule mwenzetu( aliyekuwa anachat) akaenda hadi kwa demu wa mshikaji akaanza kutema madini.
Mwenye demu alipopata taarifa akawaka sana kwa msela,msela akajitetea kuwa mapenzi yake kwa dem ni zaidi ya 100% ila alikuwa anataka ampatie dem 80% anayoikosa kutoka kwa bwana ake.Ugomvi ulikuwa mkubwa sana siku ile,ila chanzo ni kidogo sana
Kama unampenda dem wako aisee husizuge wala kujivunga aisee,kuna watu wapo kimya ila wanamtaka so be care